LULU AMUWAHI IDRIS
![](http://api.ning.com:80/files/-*rcMYSmUcUK4kmTqYMYEzYGPe9YuQ95ZdhFePbtcS7VmMDEijAY4T8Xx6S0pMLWO-6gVcVdjAn2-PP5syY8hU6-5EEOGgVE/Lulu.jpg?width=650)
Na Erick Evarist ACHANA na watu kibao waliojitokeza mitandaoni na kudai wana undugu na mshindi wa Shindano la Bigbrother Hotshot (2014), Idris Sultan (21), mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ndiye mtu wa kwanza kabisa kujinadi kuwa na urafiki na mshindi huyo aliyejinyakulia zawadi ya shilingi milioni 510. Mwigizaji wa filamu Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ akiwa na Idris. Idris ambaye alinyakua...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/VNXpMB91slebuxIPRUT384J59dE9xJH*eRU2UnaXA3ziCxizTFCMuyNbdpmSWsawYRB8al7YkpxZchUtof-DigYdPJY5ZD3W/3.jpg?width=650)
IDRIS AMFUNGUKIA LULU
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/9nG191KtIdgOE68jtzJZoaNny-DbppooKsUZmCZhgvn16Oj4GBobuN2dmM2kftGgUlyjih7sSe9h8mMVNcOjc9Ng68mJg7VF/idris80.jpg)
IDRIS: NILIKUWA MPIGA PICHA WA LULU
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Baada ya Ile na Lulu Sasa ni Hii ya Wema na Idris
Kweli umbea ndio unaendesha mitandao ya kijamii hapa Bongo.Baada ya ile picha ya zamani ya muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu akiwa na mshindi wa BBA 2014, Idris, kupewa vichwa vya habari kuwa mwandada Lulu ameamua kujiweka au kuandaa mazingira ya kuwa karibu na mshindi huyo ili wazipukutishe DOLLAR, eti kisa Lulu aliweka picha hiyo mtandaoni nawatu bila kujiuliza mara mbili wamekuwa wa kiachia comment za ajabu ajabu.
Muda huu tena imeibuka picha hii nayo pia ni yazamani, ya muigizaji...
10 years ago
VijimamboELIZABETH MICHAEL (LULU) WA BONGO MOVIE AOMBA NAFASI YA KUOLEWA NA IDRIS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Cheni (Mkufu) wa LULU wazua utata. Wengi wasema ni kama wa IDRIS. Wachache wadai eti ni FREEMASONS
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs. MILLIONI 500 za kijana Idris toka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa...
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
LULU: Mimi ni Mchamungu,Mwenye Matarajio Makubwa Maishani…That’s Lulu
"Mimi ni mcha Mungu, mpenda maendeleo,ni mtu ambae nipo focused,ni mtu ambae nina matarajio makubwa,mtuambae nataka kufika mbali-That’s Lulu "
Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael “Lulu” aliyasema hayo leo akiwa studio kabla ya kuimbiwa wimbo Dogo Aslay msanii kutoka yamoto Band.
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe wa Lulu kwa Mama yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Bongo Movies01 Jan
LULU:Mbali ya Kunizaa Kwa Uchungu, Ulizibeba Aibu Zangu...Ujumbe Mzito wa Lulu kwa Mama Yake
“Huwezi kuamini Ilinibidi nianze kuandika hii risala 3day before ur birthday (mana Sio caption tena)
Kwanza nashukuru kwa MAPENZI na heshima uliyonipa kwa kuniweka tumboni kwako miezi 9,kunizaa kwa uchungu na kunilea kiroho,kiakili na ki mwili pia...Namshukuru Mungu kwa kunipa ww kama Mzazi WANGU na ninajivunia hilo sana..!
Kuna wakati nakukosea na kukuumiza Lkn kiukweli huwa naumia na kujuta sana baada Ya kujua kosa langu.
Licha Ya uchungu uliopata kwa kunizaa na kunilea upo wakati...
10 years ago
Vijimambo07 Dec
IDRIS ASHINDA BBA
![](http://api.ning.com/files/1pYGM2xUDQlMP4IhwN21S9apNq7B4pRvQJtsScdchDNApvopb2k3rwFaufuPDoy5EdOmNgUt-x*HH*BTvUS8V*I-g45RqMdX/9266_10204363760083035_7598613077307764719_n.jpg?width=650)
Mshiriki kutoka Tanzania aliyewakilisha ndani ya mjengo wa Big Brother ‘hotshots’ , Idris Sultan.
Aliyekuwa mshiriki wa Tanzania kwenye mjengo wa Big Brother Idris Sultan ameibuka mshindi wa shindano hilo na kuileteaheshimaTanzania, Idris pia amejishindia kitita cha dola 300,000 (Sawa na 510,186,000).
Idris aliweza kutabiriwa na wadau wengi kuwa angeweza kuibuka mshindi kutokana na wadau wengi kuvutiwa na staili ya maisha aliyokuwa akiishi katika nyumba hilo la big brother lililoko huko Afrika...