IDRIS AMFUNGUKIA LULU
Stori: Imelda Mtema KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu. Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan. Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLLULU AMUWAHI IDRIS
10 years ago
GPLIDRIS: NILIKUWA MPIGA PICHA WA LULU
10 years ago
Bongo Movies11 Dec
Baada ya Ile na Lulu Sasa ni Hii ya Wema na Idris
Kweli umbea ndio unaendesha mitandao ya kijamii hapa Bongo.Baada ya ile picha ya zamani ya muigizaji Elizabeth Michael aka Lulu akiwa na mshindi wa BBA 2014, Idris, kupewa vichwa vya habari kuwa mwandada Lulu ameamua kujiweka au kuandaa mazingira ya kuwa karibu na mshindi huyo ili wazipukutishe DOLLAR, eti kisa Lulu aliweka picha hiyo mtandaoni nawatu bila kujiuliza mara mbili wamekuwa wa kiachia comment za ajabu ajabu.
Muda huu tena imeibuka picha hii nayo pia ni yazamani, ya muigizaji...
10 years ago
VijimamboELIZABETH MICHAEL (LULU) WA BONGO MOVIE AOMBA NAFASI YA KUOLEWA NA IDRIS MSHINDI WA BIG BROTHER AFRICA
10 years ago
Bongo Movies13 Dec
Cheni (Mkufu) wa LULU wazua utata. Wengi wasema ni kama wa IDRIS. Wachache wadai eti ni FREEMASONS
Baada ya mwanadada LULU kutupia picha yake mpya kwenye mtandao akiwa amevaa cheni ama mkufu mpya shingoni mwake, maswali kadhaa ya wadau yameanzaje kujitokeza kuhusu cheni hiyo pamoja na maana yake.
Huku kukiwa bado kuna vuguvugu la ushindi wa Tshs. MILLIONI 500 za kijana Idris toka jumba la BIG BROTHER na lulu akiwa ni mmoja wa watu wakubwa sana waliokuwa wanawahimiza wananchi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania na mipaka yake kumpigia kura kijana huyu ili ashinde, maswali Kadhaa...
11 years ago
GPLAMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA
9 years ago
Bongo Movies01 Nov
Wolper Amfungukia Mrithi wa Mkongo
SIKU chache baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwigizaji Jacqueline Wolper amesema kuwa hawezi kuendelea kubaki bila mtu lakini anahitaji mtu mwenye sifa.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema kutokana na kuingia kwenye uhusiano na wanaume tofauti akiwemo mfanyabiashara maarufu, Dallas ambao ameshindwa kufanya nao maisha, anahitaji mtu ambaye kweli atajiridhisha kuwa anafaa kuwa mume na si vinginevyo.
Alipoulizwa kuhusu Daktari...
10 years ago
Mwananchi10 Apr
Mahita alikosoa Jeshi la Polisi, Mangu amfungukia
9 years ago
Michuzi