Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wolper Amfungukia Mrithi wa Mkongo

SIKU chache baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwigizaji Jacqueline Wolper amesema kuwa hawezi kuendelea kubaki bila mtu lakini anahitaji mtu mwenye sifa.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema kutokana na kuingia kwenye uhusiano na wanaume tofauti akiwemo mfanyabiashara maarufu, Dallas ambao ameshindwa kufanya nao maisha, anahitaji mtu ambaye kweli atajiridhisha kuwa anafaa kuwa mume na si vinginevyo.

Alipoulizwa kuhusu Daktari...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WOLPER AMWANGUKIA MKONGO!

Stori: Mwandishi Wetu
BAADA ya hivi karibuni kumchana laivu Mkurugenzi wa Mwami Foundation, raia wa Kongo, Mwami Rajabu, staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kumwangukia jamaa huyo na kumuomba msamaha. Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe. Kikizungumza na Risasi Mchanganyiko, chanzo makini kilidai kwamba baada ya gazeti ndugu na hili kuripoti habari ya Wolper kumchana Mkongo huyo huku akidai...

 

11 years ago

GPL

WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO

Stori: Shakoor Jongo
KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha Israel, Husna Maulid kufuatia madai kwamba, wanamgombea mwanamume Mkongo aliyejulikana kwa jina moja la Mwami. Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper katika pozi. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Husna ndiye aliyeanza kuwa na...

 

11 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mambo hadharani! Kigogo ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayewagombanisha mastaa wawili Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid ni huyu hapa. Anaitwa Rajab Mwami Shamweshi. Staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Masswe. Habari zilizolifikia Ijumaa zilidai kwamba baada ya mtafaruku wa mastaa hao kuripotiwa na gazeti mama la hili, Uwazi la Jumanne iliyopita, jamaa...

 

9 years ago

Bongo Movies

Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza.

Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana.

“Hii si mara ya kwanza kunitongoza kwani nakumbuka kuna siku mtu aliniomba namba ya simu na baadaye nikapigiwa na huyo Mkongo...

 

10 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!

Stori: Hamida Hassanna Gladness Mallya
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima, inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu ‘Mkongo’ ameibuka na madai mazito kwamba baada ya ‘kumalizana’ na mastaa wa Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid, kwa sasa anamtaka mwigizaji Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kwa...

 

10 years ago

GPL

IDRIS AMFUNGUKIA LULU

Stori: Imelda Mtema
KWA mara ya kwanza baada ya kutua Bongo, Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshort (2014), Idris Sultan amemfungukia mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ na kudai ni rafiki yake wa karibu. Mshindi wa Shindano la Big Brother Hotshots 2014, Idris Sultan. Kabla mshindi huyo hajakanyaga Bongo, Lulu alishambuliwa mitandaoni baada ya kujinadi kuwa na urafiki wa karibu na Idris lakini kwa… ...

 

11 years ago

GPL

AMANDA AMFUNGUKIA FLORA MBASHA

Stori: Gladness Mallya
MSANII wa kike kutoka tasnia ya filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amemfungukia mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha akimshauri kuacha kumwanika mumewe, Emmanuel Mbasha kwenye vyombo vya habari. Msanii wa kike kutoka tasnia ya filamu Bongo, Tamrina Posh ‘Amanda’. Flora na mumewe Mbasha, wapo kwenye mgogoro wa kifamilia huku mwanaume akikabiliwa na tuhuma za ubakaji,...

 

10 years ago

Mwananchi

Mahita alikosoa Jeshi la Polisi, Mangu amfungukia

>Inspekta Jenerali wa Polisi (IGP) mstaafu, Omary Mahita amesema askari polisi kwa sasa wamepoteza hadhi, hawaogopwi na wahalifu na ndiyo sababu kubwa ya kuongezeka kwa vitendo vya kihalifu kila kukicha.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani