WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO
Stori: Shakoor Jongo KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha Israel, Husna Maulid kufuatia madai kwamba, wanamgombea mwanamume Mkongo aliyejulikana kwa jina moja la Mwami. Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper katika pozi. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Husna ndiye aliyeanza kuwa na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA
10 years ago
GPLMKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!
10 years ago
GPLWOLPER AMWANGUKIA MKONGO!
9 years ago
Bongo Movies09 Oct
Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid
Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine...
9 years ago
Bongo Movies01 Nov
Wolper Amfungukia Mrithi wa Mkongo
SIKU chache baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwigizaji Jacqueline Wolper amesema kuwa hawezi kuendelea kubaki bila mtu lakini anahitaji mtu mwenye sifa.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema kutokana na kuingia kwenye uhusiano na wanaume tofauti akiwemo mfanyabiashara maarufu, Dallas ambao ameshindwa kufanya nao maisha, anahitaji mtu ambaye kweli atajiridhisha kuwa anafaa kuwa mume na si vinginevyo.
Alipoulizwa kuhusu Daktari...
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza.
Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana.
“Hii si mara ya kwanza kunitongoza kwani nakumbuka kuna siku mtu aliniomba namba ya simu na baadaye nikapigiwa na huyo Mkongo...
11 years ago
GPLCHADEMA, CCM WAMGOMBEA DUDE
9 years ago
Bongo Movies19 Nov
Sajent na Nisha Wamgombea Bwana
WAIGIZAJI wa filamu Bongo, Husna Iddi ‘Sajent’ na mwenzake Salima Jabu ‘Nisha’ wanadaiwa kuwa katika ugomvi mkubwa kumgombea msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya, Barakah Andrew ‘Barakah Da Prince’
Chanzo makini kilicho karibu na wasanii hao kinasema Sajenti ndiye aliyeingilia kati penzi la wawili hao baada ya ujumbe wake wa simu kukutwa katika simu ya mkali huyo wa Bongo Fleva ambaye amekuwa katika uhusiano na Nisha kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa.
“Kuna siku Nisha alifuma meseji kwenye simu ya...
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...