Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza

STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza.

Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana.

“Hii si mara ya kwanza kunitongoza kwani nakumbuka kuna siku mtu aliniomba namba ya simu na baadaye nikapigiwa na huyo Mkongo...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WOLPER AMWANGUKIA MKONGO!

Stori: Mwandishi Wetu
BAADA ya hivi karibuni kumchana laivu Mkurugenzi wa Mwami Foundation, raia wa Kongo, Mwami Rajabu, staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe anadaiwa kumwangukia jamaa huyo na kumuomba msamaha. Staa wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper Massawe. Kikizungumza na Risasi Mchanganyiko, chanzo makini kilidai kwamba baada ya gazeti ndugu na hili kuripoti habari ya Wolper kumchana Mkongo huyo huku akidai...

 

9 years ago

Bongo Movies

Wolper Amfungukia Mrithi wa Mkongo

SIKU chache baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwigizaji Jacqueline Wolper amesema kuwa hawezi kuendelea kubaki bila mtu lakini anahitaji mtu mwenye sifa.

Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema kutokana na kuingia kwenye uhusiano na wanaume tofauti akiwemo mfanyabiashara maarufu, Dallas ambao ameshindwa kufanya nao maisha, anahitaji mtu ambaye kweli atajiridhisha kuwa anafaa kuwa mume na si vinginevyo.

Alipoulizwa kuhusu Daktari...

 

11 years ago

GPL

WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO

Stori: Shakoor Jongo
KUCHAMBANA, kutoleana lugha chafu ndiyo ishu iliyopo kwa sasa kati ya nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper na mshiriki wa Miss Tanzania mwaka 2011 iliyomtoa mlimbwende Salha Israel, Husna Maulid kufuatia madai kwamba, wanamgombea mwanamume Mkongo aliyejulikana kwa jina moja la Mwami. Nyota wa filamu za Bongo, Jacqueline Wolper katika pozi. Kwa mujibu wa chanzo chetu, Husna ndiye aliyeanza kuwa na...

 

11 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA

Stori: Hamida Hassan na Gladness Mallya Mambo hadharani! Kigogo ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayewagombanisha mastaa wawili Bongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid ni huyu hapa. Anaitwa Rajab Mwami Shamweshi. Staa wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper Masswe. Habari zilizolifikia Ijumaa zilidai kwamba baada ya mtafaruku wa mastaa hao kuripotiwa na gazeti mama la hili, Uwazi la Jumanne iliyopita, jamaa...

 

10 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!

Stori: Hamida Hassanna Gladness Mallya
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima, inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu ‘Mkongo’ ameibuka na madai mazito kwamba baada ya ‘kumalizana’ na mastaa wa Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid, kwa sasa anamtaka mwigizaji Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kwa...

 

10 years ago

GPL

MABIFU YA WEMA YAMCHEFUA SHAMSA

Na Imelda Mtema
 Kitendo cha Wema Sepetu kugombana mara kwa mara na kila mtu anayekuwa rafiki yake, kimeonesha kumkera staa mwezake Shamsa Ford ambaye anasema alipofikia watu wataogopa kujenga ushosti naye. Staa wa filamu Bongo, Shamsa Ford. Akizungumza na mwandishi wetu, Shamsa alisema ni kweli watu kugombana ni kitu cha kawaida lakini kwa Wema anatakiwa ajiangalie upya ili watu wasimfikirie vibaya. “Kwa kweli...

 

11 years ago

GPL

MAMTEI HAWAJUI WOLPER, WEMA

Nyemo chilongani
MUIGIZAJI wa kike aliyetamba katika Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ ametoa kali ya aina yake baada ya kusema hawajui wasanii kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper. Cecilia Sospeter ‘Mamtei’. Muigizaji huyo aliyejifungua mtoto wake wa pili wiki kadhaa zilizopita, aliyasema hayo juzikati alipokuwa akihojiwa na paparazi wetu nyumbani kwake...

 

10 years ago

GPL

WEMA, WOLPER WALEWA CHAKARI!

Sifael Paul
Hatari! Masistaduu wawili kunako gemu la Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo, Risasi Jumamosi linafunguka. Masistaduu wawili kunako gemu la Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe wakipiga mtungi usiku mnene. ENEO LA TUKIO KINONDONI-MANYANYA
Tukio hilo lililoshuhudiwa na...

 

10 years ago

GPL

WOLPER AMSALITI KAJALA KWA WEMA

Na Musa mateja
UNAFIKI 100%! Wakati kila mtu akiamini kwamba staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ni shosti wa Kajala Masanja ‘Kay’, ameibua mshangao baada ya kunaswa akikumbatiana na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ambaye kwa sasa haziivi na Kay. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper akishoo love na Wema Sepetu. TUJIUNGE KWENYE BETHIDEI
Tukio hilo lililoibua maswali mengi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani