WOLPER AMSALITI KAJALA KWA WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7r5*Sf0hEmfpNgl6X581Ny8g7syL2Po35MaWYae-qlxvnN1-9pNOnddE-KpfkVbVp*QHktVs-GFECqgMaIo2YcI/wolper.jpg)
Na Musa mateja UNAFIKI 100%! Wakati kila mtu akiamini kwamba staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe ni shosti wa Kajala Masanja ‘Kay’, ameibua mshangao baada ya kunaswa akikumbatiana na Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ambaye kwa sasa haziivi na Kay. Staa wa sinema za Kibongo, Jacqueline Wolper akishoo love na Wema Sepetu. TUJIUNGE KWENYE BETHIDEI Tukio hilo lililoibua maswali mengi...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Mtazamo:Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?
Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna...
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
Bongo Movies05 Apr
Chakujifunza Kutoka kwa Wolper, Kajala na Irene Uwoya
Kama ulikuwa hujui basi nakuhabarisha, mastaa ambao wameshibana kwa sasa, namzunguzia wema sepetu pamoja na aunty Ezekiel. Hapo awali waliwahi kuingia kwenye bifu zito kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la aliyekuwa mcheza filamu maarufu nchini, marehemu kanumba. Bifu hilo lilifikia pabaya ambapo mastaa hao walirushiana maneno makali kwenye mitandao kila mmoja akimshtumu mwenzie kumuibia bwana ake, bifu hilo lilidumu kwa mda mrefu, lakini sasa ivi mastaa hao wameshibana na kuishi kama ndugu, ya...
10 years ago
Bongo Movies16 Dec
Kajala,Wolper na Hemmedy Kambini Tegeta Kwa Mzigo Mpya
Mwako 2014 ukiwa unaendea ukingoni kumalizika, waigizaji Jackline Wolper na Kajala Masanja pamoja nawaigizaji wengine akiwemo Hemmedy Selemani " Hemmedy PHD" wameonekana wapo mzigoni kutengeneza filamu mpya.
Akiweka picha hii mtandaoni leo asubuhi, Wolper alii-caption;
“Watu wengne tumenuna kuamshwa mapema wengne wanatabasam..jamani haya bana ..new movie location day2 Mungu tusimamie”
Akionyesha kuwa wapo kambini, na badae Kajala kuongeza kwa maneno “@tegeta location moja....."...
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXWepwCXq4pwFX42HOQaaI5iLOHRx1-0*IQVBpMgqxBsA0npcLsozrCVdXPoCwhN4UMhUMtMwl3ca8f7gACV2uzB/MAMAWEMA.jpg?width=650)
KAJALA, HIVI HUKUJIFUNZA KITU KWA WEMA?
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala
Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidia kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.
Mashabiki na wadau wengi walimwaga komenti za kumuomba Kadinda asaidie kumaliza tofauti kati ya mastaa hao kwenye ukurasa wa Kajala mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.
“ Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja...
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...