KAJALA, HIVI HUKUJIFUNZA KITU KWA WEMA?
![](http://api.ning.com:80/files/bYocnjXOIXWepwCXq4pwFX42HOQaaI5iLOHRx1-0*IQVBpMgqxBsA0npcLsozrCVdXPoCwhN4UMhUMtMwl3ca8f7gACV2uzB/MAMAWEMA.jpg?width=650)
KAMA mwandishi, sijawahi kukutana na Kajala Masanja na kufanya mazungumzo naye, lakini kama mdau nimeona kazi kadhaa za muigizaji huyu mwenye jina kubwa katika Bongo Movie.Anajitahidi kuigiza na katika uhalisia wake, huyu ni miongoni mwa wadada wanaoweza kuibeba tasnia hii na kuifikisha katika levo zingine za mbali na kuiletea sifa nchi yetu. Nimewahi kusoma simulizi juu ya maisha yake, inasisimua sana, hasa alipokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/Cmufrv6JsXU/default.jpg)
11 years ago
Bongo Movies19 Jul
Baada ya Kajala kudai Wema ni mnafiki,Wema aamua kujibu mapigo. 'Amlipua' vibaya Kajala
Ikiwa ni siku chache zimepita baada ya mwigizaji Kajala kudai kuwa mrembo Wema Sepeteu ni Mnafiki, hatimaye Mwanadada Wema Sepetu , amemlipua aliyekuwa shosti wake, Kajala Masanja ‘K’ ambaye wiki iliyopita alimwita mnafiki, habari ambayo ilisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii.
Katika habari hiyo, Kajala alikaririwa akisema kwamba licha ya watu wengi kuamini wamepatana, hakuna ukweli kwani rafiki yake huyo ni mnafiki kufuatia kutomthamini na kutokuwa karibu naye kama zamani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7r5*Sf0hEmfpNgl6X581Ny8g7syL2Po35MaWYae-qlxvnN1-9pNOnddE-KpfkVbVp*QHktVs-GFECqgMaIo2YcI/wolper.jpg)
WOLPER AMSALITI KAJALA KWA WEMA
9 years ago
Bongo508 Dec
Wema Sepetu apania kuiteka Bongo kwa kitu hiki kipya!
![Wema Sepetu akionyesha Lipstick](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/Wema-Sepetu-akionyesha-Lipstick-300x194.jpg)
Baada ya kuzindua lipstick zake, Kiss By Wema Sepetu, malkia huyo filamu nchini, amepanga kuingiza sokoni perfume yake pamoja na bidhaa zingine za urembo.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Wema apost picha yake na kuandika:
I think this should be my colour ya lipstick wen it comes to my brand Kiss. Naipenda coz it just makes me feel good nikiipaka…. For a very long time nimekuwa nikitaka sana kuwa na kitu kitacho carry jina langu la Wema Sepetu… I thought of perfume at first ila huko...
10 years ago
Bongo Movies20 Apr
Ombi la Mashabiki Kwa Kadinda, Kuhusu Bifu la Wema na Kajala
Mashabiki na wadau mabalimbali wamemuomba Martin Kadinda amabe ni meneja wa Staa Wema Sepetu, asaidia kuwapatatisha wema na Kajala ili warudi kuwa karibu kama zamani.
Mashabiki na wadau wengi walimwaga komenti za kumuomba Kadinda asaidie kumaliza tofauti kati ya mastaa hao kwenye ukurasa wa Kajala mara baada ya kajala kubandika picha akiwa na Kadinda na kuonekana wanafuraha.
“ Kweli martin jaribu kuwaweka sawa i know wema ni mtu mwenye moyo wa huruma sana atamsamehe tu mshawishi” mmoja...
10 years ago
Bongo Movies27 May
'Wema Sepetu Msamehe Kajala' Mashabiki Wamlilia Wema
Ikiwa ni masaa kadhaa yamepita toka msanii wa filamu nchini Kajala Masanja kufunguka ya moyoni juu ya Wema Sepetu na Petit Man na kueleza kuwa kamwe katika maisha yake ya hapa Duniani hawezi kusahau fadhila na moyo wa upendo ambao
ulioneshwa na watu wao kipindi ambacho alikuwa na matatizo na jinsi walivyoweza kujitolea mpaka kufikia hatua ya kuweza kumsaidia katika matatizo ambayo alikuwa anakabiliana nayo kwa kipindi kile.
Kajala alifunguka hayo kupitia ukurasa wake wa Instgram na...
10 years ago
Bongo Movies25 May
Leo Kajala Awashukuru Wema na Petitman, Afungua Milango kwa Urafiki Tena
Binadamu tuliumbwa kuishi katika misingi ya ubinadamu na sio unyama kama waishivyo wanyama wa porini leo naomba kusema kutoka moyoni mwangu.. Najua kabisa nina wazazi wangu ndugu zangu na zaidi sana Mungu wangu ila kuna watu mpaka nakufa kamwe sintowasahau katika kuta za moyo wangu katika kipindi changu kigumu nilichopitia mlikuwa nembo namboni kubwa katika kuokoa maisha yangu...
Napenda kusema kuwa hata kwa haya yote tunayopitia bado ni madogo sana kuficha thamani yenu mliyoijenga juu...