MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!
![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVrXYvejWx2BHlV2hbEIBzX7BWc9S8IJpZQ6-6pg4OyIHljg2D2C*DQP0ojrl-Zn92pZzymHVpacQib7v8bOikUI/mwami.jpg)
Stori: Hamida Hassanna Gladness Mallya Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima, inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu ‘Mkongo’ ameibuka na madai mazito kwamba baada ya ‘kumalizana’ na mastaa wa Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid, kwa sasa anamtaka mwigizaji Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGGgEcJBfuAYIPrDUDyJ1GUCajxsTHsa904zw40a3hp0V2tQ*s4SWlbcsSJaGQeueXUeniO4Xa9rMTvGejf6bH-5/kigogo.jpg?width=650)
WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/omkt7cwbhXJ7v6bTDfFXjxACpE9q6YRfFh8GDFHdEaFhOms6dnH-R5VXhZ51o1jNaXFvaowS8Wa1rX-lgcHqbXF-TpMJSXcM/mkongo.jpg?width=650)
MKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA
9 years ago
Bongo Movies09 Oct
Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid
Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine...
10 years ago
Tanzania Daima05 Oct
Utaifa utatetewa kwa gharama yoyote.
HARAKATI za kupigania huru ndani ya Tanganyika, zilianza tangu wakati wa uvamizi wakoloni wa Kijerumani uliofanyika kuanzia robo ya mwaka ya karne ya 19 hadi mwanzoni mwa karne ya 20. Viongozi...
10 years ago
Habarileo24 Nov
Tutalinda wanyamapori kwa gharama yoyote- Nyalandu
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu amesema Serikali iko tayari kulinda rasilimali za wanyamapori katika hifadhi zake za taifa kwa gharama yoyote ile na kwamba haina mchezo katika hilo.
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mkongo wa Taifa wasaidia kushuka kwa gharama za mawasiliano nchini
Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za Mawasiliano nchini. Kushoto ni Mkurugenzi huduma za mtandao wa TTCL Mhandisi Joram Lujara.
Mratibu wa Ufundi kutoka Ofisi ya Mkongo wa Taifa Mhandishi Anifa Chingumbe akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) maeneo ambayo mkongo wa Taifa umepita, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HbsRLQ*GNXZSqPdLwpIGbnuv9Z9TOC*JjRKf43igJYq-0ixT914il58lkEhuNpOTbTPAZiXgyKXGY2Q-mG6D-6vbyrkPiczN/lulu.jpg)
LULU ATOA JIBU KWA MKONGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Ga2iaGVWnSEVYt9h0Gmv1nDjUqznRiRLT8JPdNW6hemEVO0Ag6eSQmNqamuTiFot9S4NWMjgTLO0vPVq-ERUCYgK88CFU4Jn/MKONGO.jpg)
WOLPER AMWANGUKIA MKONGO!
9 years ago
Bongo Movies01 Nov
Wolper Amfungukia Mrithi wa Mkongo
SIKU chache baada ya kumwagana na aliyekuwa mchumba wake, raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, mwigizaji Jacqueline Wolper amesema kuwa hawezi kuendelea kubaki bila mtu lakini anahitaji mtu mwenye sifa.
Akizungumza na mwanahabari wetu, Wolper alisema kutokana na kuingia kwenye uhusiano na wanaume tofauti akiwemo mfanyabiashara maarufu, Dallas ambao ameshindwa kufanya nao maisha, anahitaji mtu ambaye kweli atajiridhisha kuwa anafaa kuwa mume na si vinginevyo.
Alipoulizwa kuhusu Daktari...