Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mkongo wa Taifa wasaidia kushuka kwa gharama za mawasiliano nchini

PRISCA ULOMI

Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za Mawasiliano nchini. Kushoto ni Mkurugenzi huduma za mtandao wa TTCL Mhandisi Joram Lujara.

mHANDISHI ANIFA CHINGUMBE

Mratibu wa Ufundi kutoka Ofisi ya Mkongo wa Taifa Mhandishi Anifa Chingumbe akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) maeneo ambayo mkongo wa Taifa umepita, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Matawi ya Shirika la Bima (NIC) nchini kote yaunganishwa na mkongo wa mawasiliano wa taifa

124

Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo yameunganishwa pamoja na makao makuu ili kurahisisha huduma za bima zinazotolewa na Shirika hilo nchini kote, Amesema kwa sasa baada ya Kampuni ya simu ya TTCL kufanya kazi nzuri ya kuunganisha mtandao wa huduma za NIC nchini kote kupitia mkongo wa mawasiliano wa taifa mteja anaweza kuhudumiwa...

 

10 years ago

Habarileo

Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano wahujumiwa

MKONGO wa Taifa wa mawasiliano unaounganisha nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Malawi na Zambia, umehujumiwa miundombinu yake na baadhi ya wananchi wanaoishi karibu na maeneo yanayopitiwa.

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kushoto) na Mwakilishi wa Ofisi ya Uchumi na...

 

11 years ago

Michuzi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Dkt Kamugisha Kazaura(aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Mkongo wa Taifa wa TEHEMA kwa wajumbe wa Kamati ya kudumu ya Bunge ya Miundombinu. Kulia ni Kaimu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) Mama Edwina Lupembe; kushoto ni katibu wa TTCL Bi. Lugano Rwetaka. Kamati ya Bunge ya Miundombinu ilipotembelea ofisi za mkongo wa Taifa wa Mawasiliano. Mhandisi Adam Mwaipungu akifafanua jambo kuhusu mtambo wa RCIP ambao...

 

10 years ago

GPL

MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!

Stori: Hamida Hassanna Gladness Mallya
Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwami inayosaidia watu wasiojiweza na yatima, inayofanya kazi nchi za Kenya na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mwami Rajabu ‘Mkongo’ ameibuka na madai mazito kwamba baada ya ‘kumalizana’ na mastaa wa Kibongo, Jacqueline Wolper Massawe na Husna Maulid, kwa sasa anamtaka mwigizaji Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ kwa...

 

5 years ago

Michuzi

SERIKALI YAIPONGEZA TTCL KWA GHARAMA NAFUU ZA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye akikata utepe kuzindua mnara wa mawasiliano uliojengwa na Vodacom kwa ruzuku ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kijiji cha Idodi mkoani Iringa. Kulia kwake ni Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote, Justina Mashiba na kushoto kwake ni Mkuu wa Kanda ya Nyanda za Juu Kusini...

 

11 years ago

GPL

AIRTEL YAPUNGUZA GHARAMA ZA MAWASILIANO KWA WAGENI/WATALII‏

Mkurgenzi mtendaji wa Airtel Tanzania bw, Sunil Colaso akionyesha waandishi wa habari (hawapo pichani) kifurushi chenye vocha maalum na laini ya Airtel kwaajili ya watalii wanaoingia nchini kitakachojulikana kama Airtel Tourist pack, uzinduzi huo umefanyika leo  ambapo Watalii watakaofaidika ni wale wanaotoka Amerika, India, Italia na Uingereza kufaidika na 'Airtel Tourist pack' Wakwanza… ...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkongo wa mawasiliano watua TPB

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imedhamiria kuunganisha matawi yake yote katika mfumo wa kisasa wa mawasiliano kupitia mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) ili kuboresha huduma na mawasiliano katika huduma zake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani