Mkongo wa mawasiliano watua TPB
BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imedhamiria kuunganisha matawi yake yote katika mfumo wa kisasa wa mawasiliano kupitia mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) ili kuboresha huduma na mawasiliano katika huduma zake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo26 Feb
TPB yaunganisha matawi yake na Mkongo wa Taifa
![Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (kushoto) akipokea hati ya mradi wa mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) toka kwa Ofisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Senzige Kisenge (kulia). Mradi huo umeunganisha matawi ya benki ya TPB kimawasiliano ya kisasa.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG_0356.jpg)
![Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (wa pili kulia) akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 maeneo mbalimmbali nchini.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG_0361.jpg)
10 years ago
Habarileo15 Jul
Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano wahujumiwa
MKONGO wa Taifa wa mawasiliano unaounganisha nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Malawi na Zambia, umehujumiwa miundombinu yake na baadhi ya wananchi wanaoishi karibu na maeneo yanayopitiwa.
10 years ago
Tanzania Daima25 Nov
Mawasiliano ya mkongo kuwafikia wengi zaidi
MBUNGE wa Igalula Athuman Mfutakamba (CCM) ameitaka serikali kueleza namna ilivyojipanga kuleta maendeleo ya sekta za kilimo, afya, elimu, biashara, ulinzi na wanyamapori kwa kutumia teknolojia ya kisasa. Alisema lengo...
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mkongo wa Taifa wasaidia kushuka kwa gharama za mawasiliano nchini
Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za Mawasiliano nchini. Kushoto ni Mkurugenzi huduma za mtandao wa TTCL Mhandisi Joram Lujara.
Mratibu wa Ufundi kutoka Ofisi ya Mkongo wa Taifa Mhandishi Anifa Chingumbe akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) maeneo ambayo mkongo wa Taifa umepita, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini...
10 years ago
Dewji Blog06 Feb
Matawi ya Shirika la Bima (NIC) nchini kote yaunganishwa na mkongo wa mawasiliano wa taifa
Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo yameunganishwa pamoja na makao makuu ili kurahisisha huduma za bima zinazotolewa na Shirika hilo nchini kote, Amesema kwa sasa baada ya Kampuni ya simu ya TTCL kufanya kazi nzuri ya kuunganisha mtandao wa huduma za NIC nchini kote kupitia mkongo wa mawasiliano wa taifa mteja anaweza kuhudumiwa...
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-k6e5DFtLzKk/Uuvh8MNF_LI/AAAAAAAFJ-4/ZDQVwf1VCQE/s72-c/IMG_0150.jpg)
KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YATEMBELEA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL) NA OFISI ZA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO
![](http://3.bp.blogspot.com/-k6e5DFtLzKk/Uuvh8MNF_LI/AAAAAAAFJ-4/ZDQVwf1VCQE/s1600/IMG_0150.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-gTOybU_8IKg/Uuvh8M2TXuI/AAAAAAAFJ_A/s8CPhZkYNU4/s1600/IMG_0164.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NdSExD2wGJI/Uuvh9I_3XZI/AAAAAAAFJ_M/a5VS5pahAXk/s1600/IMG_0190.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-PzH99f7sVJ0/VieGeTn9sXI/AAAAAAAIBgk/T4wYTeKyAlM/s72-c/2.jpg)
MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-PzH99f7sVJ0/VieGeTn9sXI/AAAAAAAIBgk/T4wYTeKyAlM/s640/2.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-Q3BixzuiMmA/VieGXwFBeDI/AAAAAAAIBfM/u20hDFLIxoM/s640/03.jpg)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nII-N*HRVI3Z*jNpV3ESL7WGaIS5R2fXbZY0T5PLETuB7NBbWzSAYxvplQeJlC7LpNAXbmxijPaMLc1NQpdvdicuuOj8lukW/147.jpg?width=550)
MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) YASAINI MIKATABA KUPELEKA MAWASILIANO VIJIJINI