Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TPB yaunganisha matawi yake na Mkongo wa Taifa

Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (kushoto) akipokea hati ya mradi wa mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) toka kwa Ofisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Senzige Kisenge (kulia). Mradi huo umeunganisha matawi ya benki ya TPB kimawasiliano ya kisasa. Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (kushoto) akipokea hati ya mradi wa mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) toka kwa Ofisa Mkuu wa Ufundi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Senzige Kisenge (kulia). Mradi huo umeunganisha matawi ya benki ya TPB kimawasiliano ya kisasa.Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (wa pili kulia) akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 maeneo mbalimmbali nchini. Meneja Mkuu Uendeshaji wa TPB, Kolimba Tawa (wa pili kulia) akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi mpya wa benki ya TPB uliounganisha mawasiliano ya kisasa takribani matawi 11 maeneo mbalimmbali...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Matawi ya Shirika la Bima (NIC) nchini kote yaunganishwa na mkongo wa mawasiliano wa taifa

124

Mkurugenzi wa Shirika la Bima la Taifa NIC Bw. Justin Mwandu akizungumza wakati wa uzinduzi wa huduma za shirika hilo kupitia mkongo wa taifa wa mawasiliano ambapo matawi yote nchini ya shirika hilo yameunganishwa pamoja na makao makuu ili kurahisisha huduma za bima zinazotolewa na Shirika hilo nchini kote, Amesema kwa sasa baada ya Kampuni ya simu ya TTCL kufanya kazi nzuri ya kuunganisha mtandao wa huduma za NIC nchini kote kupitia mkongo wa mawasiliano wa taifa mteja anaweza kuhudumiwa...

 

10 years ago

Vijimambo

TTCL YAUNGANISHA OFISI NA KANDA ZA MSD KWENYE MKONGO

Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akionesha orodha ya wateja wanaopata huduma ya mkongo toka kampuni hiyo kwenye tableti yake, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL kwenye hafla ya kukabidhi mradi wa huduma ya mkongo kwa Bohari ya Dawa nchini (MSD) leo jijini Dar es Salaam. Ofisa Mkuu wa Masoko na Mauzo wa kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akionesha orodha ya wateja wanaopata huduma ya mkongo toka kampuni hiyo kwenye tableti yake, alipokuwa akizungumza kwa niaba ya Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL kwenye hafla ya kukabidhi mradi wa huduma ya mkongo kwa Bohari ya Dawa nchini (MSD) leo jijini Dar es Salaam.Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Cosmas Mwaifwani akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi wa huduma za mkongo kwa ofisi za Bohari ya Dawa Tanzania inayotolewa na kampuni ya TTCL. Ofisi za Kanda za MSD zimeunganishwa na Makao Makuu na huduma za mkongo wa mawasiliano ili kufanya kazi zake kwa haraka na ufanisi zaidi. Mkurugenzi Mkuu wa MSD, Cosmas Mwaifwani akizungumza katika hafla ya makabidhiano ya mradi wa huduma za mkongo kwa ofisi za Bohari ya Dawa Tanzania...

 

10 years ago

Mwananchi

Mkongo wa mawasiliano watua TPB

BENKI ya Posta Tanzania (TPB) imedhamiria kuunganisha matawi yake yote katika mfumo wa kisasa wa mawasiliano kupitia mkongo wa mawasiliano nchini (Fiber Optic) ili kuboresha huduma na mawasiliano katika huduma zake.

 

10 years ago

Michuzi

SHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)

Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL, Dr Kamugisha Kazaura (Kulia) akimkabidhi cheti Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa(TTCL) Justine Mwandu(Kushoto) baada ya kukamilisha mradi wa kuunganisha Makao Makuu ya NIC na matawi 24 nchi nzima kwenye mtandao wa TTCL(MPLS-VPN). Tukio hilo limefanyika katika ofisi za Shirika la Bima la Taifa (NIC).Meneja wa Mradi wa TTCL Ngayalina Mihayo akitoa ufafanuzi kuhusu Shirika la Bima la Taifa jinsi lilivyounganishwa katika mtandaowa TTCL wa MPLS- VPN.NIC...

 

9 years ago

Michuzi

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa, kwa pamoja wakifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Kituo cha kutunzia kumbukumbu cha Taifa (National Internet Data Centre) Kijitonyama, leo Okt 21, 2015.  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Makame Mbarawa (kushoto) na Mwakilishi wa Ofisi ya Uchumi na...

 

10 years ago

Habarileo

Mikoa 21 yaunganishwa mkongo wa taifa

MIKOA 21 nchini imeunganishwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano huku ikielezwa kuwa, vijiji 4,000 ambavyo havijaunganishwa na mkongo huo, vitaunganishwa katika awamu ya tatu.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wahimizwa kuutumia mkongo wa taifa

WADAU na wananchi wametakiwa kuongeza matumizi ya Mkongo wa Taifa na kuutumia vizuri ili kujenga jamii habari. Pia, wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuulinda kwa kuwa kumekuwa na desturi ya baadhi...

 

10 years ago

Habarileo

Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano wahujumiwa

MKONGO wa Taifa wa mawasiliano unaounganisha nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Malawi na Zambia, umehujumiwa miundombinu yake na baadhi ya wananchi wanaoishi karibu na maeneo yanayopitiwa.

 

10 years ago

Mwananchi

Mkongo wa taifa na ndoto za Tehama shuleni

Anasema hadi sasa vituo 49, zikiwemo shule 43, vituo vya posta vitatu na vyuo vya afya vitatu vimepelekewa na kufungiwa vifaa vya Tehama, sambamba na utoaji wa kufanyiwa mafunzo ya matumizi bora ya vifaa hivyo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani