Mkongo wa taifa na ndoto za Tehama shuleni
Anasema hadi sasa vituo 49, zikiwemo shule 43, vituo vya posta vitatu na vyuo vya afya vitatu vimepelekewa na kufungiwa vifaa vya Tehama, sambamba na utoaji wa kufanyiwa mafunzo ya matumizi bora ya vifaa hivyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi25 Feb
Elimu ya Tehama shuleni; Tujifunze kutoka nchi jirani
11 years ago
Mwananchi14 Jan
Tehama shuleni; Dhamira njema iliyokosa mikakati wezeshi
10 years ago
MichuziSHIRIKA LA BIMA LA TAIFA (NIC) LAKABIDHIWA MRADI WA USIMIKAJI WA HUDUMA YA MKONGO WA TAIFA NA KAMPUNI YA SIMU TANZANIA (TTCL)
9 years ago
MichuziMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AZINDUA MKONGO WA TAIFA WA MAWASILIANO, KATIKA KITUO CHA KUTUNZIA KUMBUKUMBU CHA TAIFA (NATIONAL INTERNET DATA CENTRE) KIJITOMYAMA.
10 years ago
Habarileo15 Jul
Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano wahujumiwa
MKONGO wa Taifa wa mawasiliano unaounganisha nchi za Tanzania, Kenya, Uganda, Malawi na Zambia, umehujumiwa miundombinu yake na baadhi ya wananchi wanaoishi karibu na maeneo yanayopitiwa.
10 years ago
Habarileo17 Nov
Mikoa 21 yaunganishwa mkongo wa taifa
MIKOA 21 nchini imeunganishwa na Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano huku ikielezwa kuwa, vijiji 4,000 ambavyo havijaunganishwa na mkongo huo, vitaunganishwa katika awamu ya tatu.
10 years ago
Tanzania Daima04 Sep
Wahimizwa kuutumia mkongo wa taifa
WADAU na wananchi wametakiwa kuongeza matumizi ya Mkongo wa Taifa na kuutumia vizuri ili kujenga jamii habari. Pia, wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuulinda kwa kuwa kumekuwa na desturi ya baadhi...
10 years ago
Vijimambo26 Feb
TPB yaunganisha matawi yake na Mkongo wa Taifa
10 years ago
Dewji Blog03 Sep
Mkongo wa Taifa wasaidia kushuka kwa gharama za mawasiliano nchini
Msemaji wa Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia Bi. Prisca Ulomi akiongea na waandishi wa habari (Hawapo pichani) kuhusu mafanikio ya mkongo wa Taifa ikiwamo kusaidia kushuka kwa gharama za Mawasiliano nchini. Kushoto ni Mkurugenzi huduma za mtandao wa TTCL Mhandisi Joram Lujara.
Mratibu wa Ufundi kutoka Ofisi ya Mkongo wa Taifa Mhandishi Anifa Chingumbe akiwaonesha waandishi wa Habari (hawapo pichani) maeneo ambayo mkongo wa Taifa umepita, Wakati wa Mkutano uliofanyika leo Jijini...