Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid
Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!
10 years ago
GPL
HUSNA MAULID YAMKUTA!
10 years ago
GPL
HUSNA MAULID AFUKUZWA MSIBANI
11 years ago
GPL
WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO
11 years ago
GPL
MKONGO WA WOLPER, HUSNA HUYU HAPA
10 years ago
GPL
LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA
11 years ago
GPL
LULU, HUSNA WATAKA KUZICHAPA
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Bifu la Lulu na Husna Lapamba Moto
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Video queen maarufu hapa Bongo Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo Lulu ameibuka hadharani na kumtaka hasimu wake huyo kukaa mbali na yeye kwani hamuwezi kwa lolote, chanzo cha bifu ni mwanaume ambaye awali alikuwa akitoka na Husna na baadae Lulu kumpiku rafiki yake, ambapo aliiba namba ya mwanaume huyo na kuanza kujitongozesha... msikilize Lulu chini
"Haya haya...mwenzenu uswahili niliacha Sema...
11 years ago
GPL
AUNTY LULU ACHEZEA KICHAPO