LULU, HUSNA WATAKA KUZICHAPA
![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCm-couKRJZmPuCluUNxeFsahLM0AEokmH4PC7tR1AMzkVWiSl484bwlrMHufo7lTp7NdQXmU6q*eAFJomGfgxXP/lulu.jpg?width=650)
Na Shakoor Jongo MASTAA wa kike wanaotingisha Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ (pichani) na Husna Maulid, ilibaki kidogo wazichape, Amani lina mchapo mzima. Diva wa sinema za Kibongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ Kabla ya tukio hilo, awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye bifu baada ya kudaiwa walikuwa wanamgombea pedeshee mmoja wa mjini, kila mmoja akijipa uhalali wa kumilikiwa. Tukio hilo bichi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JowvVr60fweb4fbmYdz6AIT-E809NHhZrdm-SOXfLFyV83CUdDXuUoJUqiEDpH5TKFBdXuWa7n56b46KZvepUPI/Lulu.gif?width=650)
LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Bifu la Lulu na Husna Lapamba Moto
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Video queen maarufu hapa Bongo Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo Lulu ameibuka hadharani na kumtaka hasimu wake huyo kukaa mbali na yeye kwani hamuwezi kwa lolote, chanzo cha bifu ni mwanaume ambaye awali alikuwa akitoka na Husna na baadae Lulu kumpiku rafiki yake, ambapo aliiba namba ya mwanaume huyo na kuanza kujitongozesha... msikilize Lulu chini
"Haya haya...mwenzenu uswahili niliacha Sema...
9 years ago
Bongo Movies09 Oct
Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid
Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Lulu Kayage, Mariam kuzichapa Krismasi
BONDIA Lulu Kayage yupo kwenye maandalizi makali kuelekea pambano lake la Desemba 25 dhidi ya Mariam Abdallah litakalopigwa katika ukumbi wa Hoteli ya Friends Corner, Magomeni jijini Dar es Salaam....
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/eOkD9SMZvVrXYvejWx2BHlV2hbEIBzX7BWc9S8IJpZQ6-6pg4OyIHljg2D2C*DQP0ojrl-Zn92pZzymHVpacQib7v8bOikUI/mwami.jpg)
MKONGO WA WOLPER, HUSNA: NAMTAKA LULU KWA GHARAMA YOYOTE!
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2aD0CNnubTZHEiINdWZkj0ujHfBFbhOTOUS0N1cdZSWZmth-ZTwdAphwbZasTz18jXuGYxoNVXerKQn4Z6XO7ec/19.jpg?width=650)
HUSNA MAULID YAMKUTA!
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGGgEcJBfuAYIPrDUDyJ1GUCajxsTHsa904zw40a3hp0V2tQ*s4SWlbcsSJaGQeueXUeniO4Xa9rMTvGejf6bH-5/kigogo.jpg?width=650)
WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/wTFR6FHHG9KNi7EaqLloVXpX-2vhF1IwshQcjiWVN7zsW*2F8gUChcc*5xiSvJ37LWpQavCOONwcrJhlZGg1I*Kmnpl75gTw/HUSNA2.jpg)
HUSNA MAULID AFUKUZWA MSIBANI
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycQSLVIJoQaQv47vBP-buNrHcutAhpf*s8FFHVzl5Drrbhe3YnUXEYhG6ggK03nlr*PEiH8VM77lMUMMGdVKNNf4/husna.jpg)
HUSNA MAULED LIVE KITANDANI