HUSNA MAULID AFUKUZWA MSIBANI
![](http://api.ning.com:80/files/wTFR6FHHG9KNi7EaqLloVXpX-2vhF1IwshQcjiWVN7zsW*2F8gUChcc*5xiSvJ37LWpQavCOONwcrJhlZGg1I*Kmnpl75gTw/HUSNA2.jpg)
Aliyekuwa mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid. Imelda mtema ALIYEKUWA mshiriki wa Miss Tanzania 2011, Husna Maulid hivi karibuni amedaiwa kufukuzwa kwenye msiba mmoja maeneo ya Mbezi mara baada ya kuonekana akijipiga picha (selfie) na kujichukua video akiwa ghorofani. Kwa mujibu wa chanzo chetu, siku ya tukio, Husna akiwa msibani hapo, kwa sababu anazozijua mwenyewe, alipanda ghorofani kwenye nyumba hiyo yenye msiba na...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JeioNtmyO2aD0CNnubTZHEiINdWZkj0ujHfBFbhOTOUS0N1cdZSWZmth-ZTwdAphwbZasTz18jXuGYxoNVXerKQn4Z6XO7ec/19.jpg?width=650)
HUSNA MAULID YAMKUTA!
9 years ago
Bongo Movies09 Oct
Lulu, Wolper Watangaziwa Kichapo na Husna Maulid
Video Queen wa Bongo ambaye pia aliwahi kushiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amewatangazia kichapo kwa mastaa wawili wa Bongo Muvi, Jacqueline Wolper na Elizabeth Michael ‘Lulu’ endapo watathubutu tena kumsogelea mpenzi wake wa sasa (jina kalificha).
Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni Husna ambaye pia amejikita kwenye ujasiriamali alisema kuwa, wakati f’lani yeye na Lulu walizinguana kwa sababu ya mwanaume aliyekuwa akifahamika kwa jina la Seki, akawa mpole, wakati mwingine...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/JSct6ft9ycQSLVIJoQaQv47vBP-buNrHcutAhpf*s8FFHVzl5Drrbhe3YnUXEYhG6ggK03nlr*PEiH8VM77lMUMMGdVKNNf4/husna.jpg)
HUSNA MAULED LIVE KITANDANI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/72Jod1iYAGGgEcJBfuAYIPrDUDyJ1GUCajxsTHsa904zw40a3hp0V2tQ*s4SWlbcsSJaGQeueXUeniO4Xa9rMTvGejf6bH-5/kigogo.jpg?width=650)
WOLPER, HUSNA WAMGOMBEA MKONGO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/t3tIV4vY4JowvVr60fweb4fbmYdz6AIT-E809NHhZrdm-SOXfLFyV83CUdDXuUoJUqiEDpH5TKFBdXuWa7n56b46KZvepUPI/Lulu.gif?width=650)
LULU AMRUSHIA VIJEMBE HUSNA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/oszb1oYwZCm-couKRJZmPuCluUNxeFsahLM0AEokmH4PC7tR1AMzkVWiSl484bwlrMHufo7lTp7NdQXmU6q*eAFJomGfgxXP/lulu.jpg?width=650)
LULU, HUSNA WATAKA KUZICHAPA
10 years ago
Bongo Movies02 Apr
Filamu Zakiasili za Mpa Dili Husna
Staa mrembo wa filamu, Husna Chobis amefunguka kwa kusema kuwa filamu alizoigiza za kiasili zimepata dili la kwenda kuigiza nchini Uingereza, baada ya kuchaguliwa kupitia sinema ya Gawa na Ndase alizoigiza na kumpatia umaarufu.
“Namshumkru Mwenyezimungu kwa kuonyesha kipaji changu uigizaji na hasa filamu za asili, najua wazi kama si filamu hizi isingekuwa rahisi kuchaguliwa na kuja hapa Uingereza kushiriki filamu ninayocheza sasa, filamu za asili zimenipa dili,”anasema Husna.
Msanii huyo...
10 years ago
Bongo Movies01 Jun
Bifu la Lulu na Husna Lapamba Moto
Lile bifu lililowahi kutokea kati ya staa wa Bongo Movies, Elizabeth Michael ‘Lulu’ na Video queen maarufu hapa Bongo Husna Maulid limeingia ukurusa mpya, ambapo Lulu ameibuka hadharani na kumtaka hasimu wake huyo kukaa mbali na yeye kwani hamuwezi kwa lolote, chanzo cha bifu ni mwanaume ambaye awali alikuwa akitoka na Husna na baadae Lulu kumpiku rafiki yake, ambapo aliiba namba ya mwanaume huyo na kuanza kujitongozesha... msikilize Lulu chini
"Haya haya...mwenzenu uswahili niliacha Sema...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4Ejr0qlHpqKjYQQEflXzBr3FwCJ3-K-ncKR6rOLwb2Ik99z*vdt*dlch9HRe2p06i7dUiS*MvgKSNiHJ2-DWS71Ev6vt94wP/husna.jpg?width=650)
HUSNA MAULIDI AKANYAGA SKENDO YA WIZI