MAMTEI HAWAJUI WOLPER, WEMA
![](http://api.ning.com:80/files/jzsUW*22gf2WGMPegcNbUWz1bHVq4a-ppqP4tbJLhxzF*jZ81TGv8OibjtTvDSFPv6Bwm0TyJndL8EVQS57OIk5YXj0TZ-1w/mamtei.jpg?width=650)
Nyemo chilongani MUIGIZAJI wa kike aliyetamba katika Tamthiliya ya Jumba la Dhahabu, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ ametoa kali ya aina yake baada ya kusema hawajui wasanii kutoka Bongo Movie, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper. Cecilia Sospeter ‘Mamtei’. Muigizaji huyo aliyejifungua mtoto wake wa pili wiki kadhaa zilizopita, aliyasema hayo juzikati alipokuwa akihojiwa na paparazi wetu nyumbani kwake...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rhqcRsJl7aQwQDG7ODRIGaTRnoUIRczQnyQCorkNigpxQwZOTR9PwC0REXk3cVc8xanGfhqKTW43c116hrzc-bCFQu-YvCLo/3.jpg?width=650)
WEMA, WOLPER WALEWA CHAKARI!
9 years ago
Bongo Movies29 Nov
Shamsa: Mkongo wa Wolper,Wema Amenitongoza
STAA wa filamu Bongo, Shamsa Ford juzikati alimwaga ‘ubuyu’ hadharani kwa kusema kwamba, yule jamaa Mkongo ambaye amekuwa akidaiwa kutoka na Wema Sepetu, Jacqueline Wolper amemtongoza.
Akizungumza na kona ya Bongo Movies Shamsa alisema, hivi karibuni alienda saluni na kukutana na ujumbe wa Mkongo wa Wema, Wolper ukimuhitaji kimapenzi jambo ambalo lilimuudhi sana.
“Hii si mara ya kwanza kunitongoza kwani nakumbuka kuna siku mtu aliniomba namba ya simu na baadaye nikapigiwa na huyo Mkongo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/TARUKDkBK7r5*Sf0hEmfpNgl6X581Ny8g7syL2Po35MaWYae-qlxvnN1-9pNOnddE-KpfkVbVp*QHktVs-GFECqgMaIo2YcI/wolper.jpg)
WOLPER AMSALITI KAJALA KWA WEMA
10 years ago
Bongo Movies23 Mar
Mtazamo:Ukistaajabu ya Kajala na Wema, utayaona ya Wastara na Wolper
Kweli nimeamini samaki mmoja akioza wote huoza, hadi wewe wastara? Hukumbuki wolper alivyohangaika na marehemu mume wako? Dada wa watu akajitolea mamilion ili mume wako akatibiwe India? Umesahau wema wote hadi ukalia nachozi na kumuona wolper ni Mungu mtu?
Pesa tu ndio zinakutoa utu na kukufanya uumize moyo wa mwanamke mwenzio aliyejitolea wakati una shida ili aokoe maisha ya mume wako kipenzi japokuwa haikuwezekana (Mungu ailaze roho ya marehemu peponi ), inasikitisha na kuumiza sana, kuna...
10 years ago
Bongo Movies19 Apr
Wema, Wolper Walewa Chakari!,Kisa Msongo wa Mawazo
Mastaa warembo kutoka Bongo Movies, Wema Isaac Sepetu na Jacqueline Wolper Massawe, wamejikuta wakipiga ulabu hadi kulewa chakari, kisa kikielezwa kwamba wana msongo wa mawazo.
Gazeti la Risasi la jana, limeripoti kuwa tukio hilo lilijiri hivi karibuni, usiku mnene kwenye pati ya kuzaliwa (birthday) ya meneja wa kampuni ya Wema ya Endless Fame almaarufu Petit Man iliyofanyika kwenye nyumba ya jamaa mmoja maeneo ya Kinondoni-Manyanya jijini Dar na kuhudhuriwa na mastaa kibao.
Katika pati...
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Picha: Wema na Wolper Washangaza Wengi Baada ya Kupombeka
Hii ilitokea hivi juzi kati kwenye ‘Bethidei Pati’ ya Petitman ambae ni mtu wa karibu wa mwanadada Wema Sepetu.
Inasemekana mara baada ya mastaa hao kuchapa ‘ulabu’ wakaanza kufanya yao (kama unavyoona kwenye picha hapo juu). Kitendo ambacho kiliwashangaza wengi waliohudhulia sherehe hiyo.
Je ni picha gani upeita kutoka kwenye pichi hizo?
Mzee wa Ubuyu
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55KhZ3SdjEZ84OkpwOOglNq-P*mscWlGBbqYmU*VeTd*aQhA702gvq*JirrKhquPEkOAmdTZ2W9CbEjMsjej-jEY/mamtei.jpg?width=650)
MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI
10 years ago
Bongo511 Oct
Nora: Wema, Lulu, Wolper wanaweza, Batulli, Aunt Ezekiel, Chuchu Hans hamna kitu!
10 years ago
Bongo Movies15 Jan
Wolper Alia na Wolper “FEKI” Kwa Kuwachuna Watu Kwa Kutumia Jina Lake!!
"Jacq fake huyu anaomba pesa sana na kajisajili Jacq Massawe na na mie jina langu ni Jacq Wolper Massawe so kuweni makini na kama mkiweza nisaidieni kumwambia chochote kwani inaniweka pabaya sana mimi kiukweli naweza kujakutana na mtu akanikaba kwakumchuna bila mafanikio hahahha aichekeshi ila huo ndo ukweli kwamba ananitafutia matatizo huyu binadam naukimpigia nisaut i yangu kabisa na ananijua kuliko navyojijua yani kila napoenda anajua.
Huyu jamani anaomba sana pesa tigo pesa na whatsap...