MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo531 Jan
Shakira ajifungua mtoto wa pili wa kiume, Sasha
10 years ago
Vijimambo
MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.
10 years ago
GPL
MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU
10 years ago
Vijimambo06 Aug
Zari ajifungua mtoto wa kike

Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.
Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...
10 years ago
GPL
AUNT EZEKIEL AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE
11 years ago
Bongo518 Aug
Christina Aguilera ajifungua mtoto wa kike
10 years ago
Bongo505 Nov
Kelly Rowland ajifungua mtoto wa kiume
10 years ago
Vijimambo
MTOTO WA MIAKA 11 AJIFUNGUA HUKO PARAGUAY

Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa njia ya upasuaji wanaendelea vizuri.Tukio hilo limesababisha utata mkubwa nchini Paraguay na katika mitandao ya kijamii, Paraguay ni taifa linaloamini zaidi katika Ukatoliki ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake...
11 years ago
GPL
SAFINA WA MIZENGWE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME