Shakira ajifungua mtoto wa pili wa kiume, Sasha
Mwimbaji wa Colombia, Shakira (37) amejifungua mtoto wake wa pili wa kiume siku ya Alhamisi usiku huko Barcelona. Hit maker wa ‘Waka Waka’ pamoja na mzazi mwenzake mcheza mpira Gerard Piqué wamempatia jina la Sasha. Shakira, Grerald na mtoto wao wa kwanza Milan Kwa mujibu wa Daily Mail, Shakira na boyfriend wake walichukua floor nzima […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/aq07GQXjwH0TXvWCpycdEQlPjZIliZh-IAlllVr4r6AMrfHVnAg4MGBkkvEGti-w26lzs4J9yb7B3LqfiZ8EhJlUDj8CBntX/dinamarios.jpg)
DINA MARIOS AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha Leo Tena kinachoruka kupitia Clouds FM, Dina Marios, amejifungua mtoto wa kiume leo.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zruj0PgXfg87XsxH3hlHbqHJVY5ALaOkCDYQK8qefza736DJHlDg5NHjeZqtXb042pqtISKh52Vwj1QO2ZFHDMbstMteGnL/safina.jpg?width=650)
SAFINA WA MIZENGWE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME
STAA mkongwe wa vichekesho kutoka kundi la Kashikash Bongo linalorusha michezo yake kupitia Kipindi cha Mizengwe runinga ya ITV, Jessica Kindole ‘Safina’ amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Lugalo, jijini Dar es Salaam. Jessica Kindole ‘Safina’ akiwa hospitali kabla ya kujifungua.
10 years ago
Bongo505 Nov
Kelly Rowland ajifungua mtoto wa kiume
Kelly Rowland na mume wake ambaye pia ni meneja wake, Tim Witherspoon wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina, Titan Jewell. Mtoto huyo alizaliwa jana. Muimbaji huyo wa zamani wa Destiny’s Child alitangaza mwezi June kuwa alikuwa anatarajia kupata mtoto, ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya kufunga ndoa huko Costa Rica.
10 years ago
Bongo529 Aug
Shakira na boyfriend wake Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili
Mwimbaji Shakira na boyfriend wake mcheza mpira Gerard Piqué wanatarajia kupata mtoto wa pili. Mwimbaji huyo wa Colombia amethibitisha habari hizo kupitia jarida la ‘Cosmopolitan Magazine’ Spanish version. Ni karibia miaka miwili sasa toka Shakira na Piqué wapate mtoto wa kwanza aitwaye Milan, aliyezaliwa January 22, 2013.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MlukZF2i55KhZ3SdjEZ84OkpwOOglNq-P*mscWlGBbqYmU*VeTd*aQhA702gvq*JirrKhquPEkOAmdTZ2W9CbEjMsjej-jEY/mamtei.jpg?width=650)
MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI
Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela
MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...
10 years ago
Bongo529 Dec
Alicia Keys na Swizz Beatz wapata mtoto wa pili wa kiume
Muimbaji Alicia Keys aliyekuwa mjamzito na mumewe Swizz Beatz wamepata mtoto wa pili aliyezaliwa Jumamosi Dec 27. Wanandoa hao wametangaza kupitia Instagram kuwa mtoto wao wa pili aliyezaliwa ni wa kiume na wamempa jina la Genesis Ali Dean. Keyz na Beatz walifunga ndoa mwaka 2010 na kufanikiwa kupata mtoto wao wa kwanza wa kiume aitwaye […]
10 years ago
Bongo518 Sep
Mwisho mwampamba na mkewe Mnamibia Meryl wa ‘BBA’ wapata mtoto wao pili wa kiume
Mtangazaji wa kipindi cha ‘Boys Boys’ cha TV 1, Mwisho Mwampamba na mkewe Meryl ambaye walikutana na kuanzisha mahusiano kwenye Big Brother Africa ‘All stars’, wamefanikiwa kupata mtoto wao wa pili kama couple. Meryl ambaye ni Mnamibia amejifungua mtoto wa kiume mwishoni mwa May 2014 ambaye wamemuita ‘King David’. Meryl akiwa na mtoto wa Mwisho […]
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-mvJhpG_tQ94/VUHK99dCOhI/AAAAAAABM9U/f02aL7fUK0M/s72-c/page3.jpg)
MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO
![](http://2.bp.blogspot.com/-mvJhpG_tQ94/VUHK99dCOhI/AAAAAAABM9U/f02aL7fUK0M/s1600/page3.jpg)
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGj8nXBcp01MK0lcDnnVhbAzjyPGtYi3wfkPMfWBGqGH6msBM0914eUaJ3UJqdEb6tDQjeQGSY02mVg9CwHHWJ94/MamaM.jpg)
MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU
Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania