Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO WA MIAKA 11 AJIFUNGUA HUKO PARAGUAY

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike baada ya mamlaka nchini humo kumzuia asitoe ujauzito aliokua nao.
Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa njia ya upasuaji wanaendelea vizuri.Tukio hilo limesababisha utata mkubwa nchini Paraguay na katika mitandao ya kijamii, Paraguay ni taifa linaloamini zaidi katika Ukatoliki ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto apata mtoto Paraguay.

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

10 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

10 years ago

Vijimambo

Zari ajifungua mtoto wa kike

MTOTO WA ZARI
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.


Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...

 

11 years ago

GPL

MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...

 

10 years ago

Bongo5

Kelly Rowland ajifungua mtoto wa kiume

Kelly Rowland na mume wake ambaye pia ni meneja wake, Tim Witherspoon wamepata mtoto wa kiume waliyempa jina, Titan Jewell. Mtoto huyo alizaliwa jana. Muimbaji huyo wa zamani wa Destiny’s Child alitangaza mwezi June kuwa alikuwa anatarajia kupata mtoto, ikiwa ni mwezi mmoja tu baada ya kufunga ndoa huko Costa Rica.

 

11 years ago

GPL

SAFINA WA MIZENGWE AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

STAA mkongwe wa vichekesho kutoka kundi la Kashikash Bongo linalorusha michezo yake kupitia Kipindi cha Mizengwe runinga ya ITV, Jessica Kindole ‘Safina’ amejifungua mtoto wa kiume katika Hospitali ya Lugalo, jijini Dar es Salaam. Jessica Kindole ‘Safina’ akiwa hospitali kabla ya kujifungua.

 

10 years ago

Habarileo

Ajifungua mtoto mwenye sura ya chura

Kitanda cha Upasuaji.MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na chura.

 

10 years ago

Bongo5

Christina Aguilera ajifungua mtoto wa kike

Christina Aguilera na mchumba wake Matt Rutler wamepata mtoto wao wa kwanza kama couple, baada ya mwimbaji huyo kujifungua mtoto wa kike Jumamosi (Agosti 16), US Weekly wamethibitisha. Mshindi huyo wa Grammy mwenye miaka 33 amejifungua kwa njia ya upasuaji katika hospitali ya Cedars-Sinai Medical Center iliyoko Los Angeles. Huyu ni mtoto wa pili kwa […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani