Mtoto apata mtoto Paraguay.
Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://3.bp.blogspot.com/-L0XAos4hLyA/Vc9RBcd9wVI/AAAAAAABT5s/ZwkUltmi_hg/s72-c/150813214449_paraguay_child_rape_512x288_bbc_nocredit.jpg)
MTOTO WA MIAKA 11 AJIFUNGUA HUKO PARAGUAY
![](http://3.bp.blogspot.com/-L0XAos4hLyA/Vc9RBcd9wVI/AAAAAAABT5s/ZwkUltmi_hg/s640/150813214449_paraguay_child_rape_512x288_bbc_nocredit.jpg)
Madaktari katika mji mkuu wa Asuncion wamesema binti huyo na mtoto wake aliyejifungua kwa njia ya upasuaji wanaendelea vizuri.Tukio hilo limesababisha utata mkubwa nchini Paraguay na katika mitandao ya kijamii, Paraguay ni taifa linaloamini zaidi katika Ukatoliki ambapo mwanamke anaruhusiwa kutoa mimba pale tu afya yake...
10 years ago
GPLMKWERE APATA MTOTO WA KIKE
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Mr Flavour kama Diamond, apata mtoto
WAKATI nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) akifurahia mtoto wake wa kwanza aliyempa jina la Tiffah, nyota mwenzake wa Nigeria, Flavour Nabania ‘Mr Flavour’ naye amepata mtoto.
Diamond Platinum na mpenzi wake, Zarina Hassani (Zari), wamefanikiwa kupata mtoto wa kike huku Mr Flavour na mpenzi wake, Anna Banner wakipata mtoto wa kiume.
Mtoto wa Mr Flavour amezaliwa Texas nchini Marekani akiwa ni mtoto wake wa pili, wa kwanza akiwa amezaa na mrembo, Sandra Okagbue,...
10 years ago
Mtanzania13 Aug
Bobi Wine apata mtoto wa nne
MSANII kutoka Uganda, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ na mke wake, Barbie Kyagulanyi, wamepata mtoto wa kike anayetimiza jumla ya watoto wanne.
“Hii ni mipango ya Mungu, tunashukuru kwa dua zenu tumepata mtoto wa kike mwenye sura mzuri na hali ya mama yake inaendelea vizuri,” aliandika Bobi Wine kupitia akaunti yake ya Facebook.
Mashabiki wanasema kuwa huu ni mwaka wa watu maarufu na wasanii kupata watoto kama ilivyo kwa Nassib Abdul ‘Diamond’ kutoka nchini Tanzania, Jackie Matubia kutoka...
9 years ago
Bongo528 Sep
Picha: Fid Q apata mtoto wa kike, Fidelie
9 years ago
Bongo503 Sep
Picha: Mr Blue apata mtoto wa pili, jinsia yake ni?
9 years ago
BBCSwahili06 Nov
Mtoto aliyenusurika kimuujiza Sudan Kusini apata fahamu