Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bobi Wine apata mtoto wa nne

Bobi WineMSANII kutoka Uganda, Robert Kyagulanyi ‘Bobi Wine’ na mke wake, Barbie Kyagulanyi, wamepata mtoto wa kike anayetimiza jumla ya watoto wanne.

“Hii ni mipango ya Mungu, tunashukuru kwa dua zenu tumepata mtoto wa kike mwenye sura mzuri na hali ya mama yake inaendelea vizuri,” aliandika Bobi Wine kupitia akaunti yake ya Facebook.

Mashabiki wanasema kuwa huu ni mwaka wa watu maarufu na wasanii kupata watoto kama ilivyo kwa Nassib Abdul ‘Diamond’ kutoka nchini Tanzania, Jackie Matubia kutoka...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBC

Pop star MP Bobi Wine sings coronavirus alert for the world

Uganda's Bobi Wine is using his music to encourage collective action to stop the spread of the virus.

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Bobi Wine ahamasisha Umma kuhusu virusi vya corona

Mwanamuziki na mbunge wa Uganda Kyangulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine amezindua wimbo kwa jina coronavirus.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Bobi Wine ajitolewa kuwarejesha makwao waafrika 'wanaobaguliwa' China

Mwanamuziki na mbunge wa Uganda Kyangulanyi Ssentamu maarufu kama Bobi Wine, amesema kuwa ameungana na mfanyibiashara wa Marekani kuwarejesha nyumbani waafrika wanaodaiwa kubaguliwa China.

 

9 years ago

Bongo5

Bobi Wine asema hana mpango wa kwenda kimataifa, anaridhika kuwa msanii wa ndani

Wakati wanamuziki wengine wa Afrika Mashariki wakiendelea kutafuta njia za kuvuka mipaka ili kutangaza muziki wao kimataifa, Bobi Wine kutoka Uganda amewashangaza wengi baada ya kusema kuwa anaridhika kuwa ‘local artist’ na hana mpango wa kwenda ‘International’. Akiongea kupitia kipindi cha The Beat cha NTV ya Uganda Ijumaa iliyopita, Bobi Wine amesema kuwa kazi yake […]

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto apata mtoto Paraguay.

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.

 

10 years ago

GPL

MKWERE APATA MTOTO WA KIKE

Mtoto wa Komediani maarufu nchini, Hemedi Maliyaga ‘Mkwere’ aliyepewa jina la Shamsa Hemedi Maliyaga. Chande abdallah MSANII wa komedi anayeuza sura kupitia Kipindi cha Mizengwe kinachorushwa katika Kituo cha Televisheni cha ITV, Hemedi Maliyaga ‘Mkwere’ amefunguka kuwa anajivunia kupata mtoto wa kike baada ya mkewe kujifungua hivi karibuni.
 Mke wa Mkwere na watoto wake, Shamsa na Kamira...

 

10 years ago

Mtanzania

Mr Flavour kama Diamond, apata mtoto

flavour nabaniaWAKATI nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul (Diamond Platinum) akifurahia mtoto wake wa kwanza aliyempa jina la Tiffah, nyota mwenzake wa Nigeria, Flavour Nabania ‘Mr Flavour’ naye amepata mtoto.

Diamond Platinum na mpenzi wake, Zarina Hassani (Zari), wamefanikiwa kupata mtoto wa kike huku Mr Flavour na mpenzi wake, Anna Banner wakipata mtoto wa kiume.

Mtoto wa Mr Flavour amezaliwa Texas nchini Marekani akiwa ni mtoto wake wa pili, wa kwanza akiwa amezaa na mrembo, Sandra Okagbue,...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Fid Q apata mtoto wa kike, Fidelie

Fareed Kubanda aka Fid Q na mchumba wake wamejaaliwa mtoto wa kike. Mtoto huyo amepewa jina Fidelie. Allah kanibless na Mtoto wa kike asubuhi hii.. Allah is always great 🙏 #FIDELIA #FIDELIA #FIDELIA pic.twitter.com/YwNiDx1ZBL — #KEMOSABE(Interlude) (@FidQ) September 25, 2015 Mtoto huyo amezaliwa asubuhi ya leo. Kupitia Instagram pia Fid ameandika: Alhamdulillah… She’s here, The […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani