Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MKWERE APATA MTOTO WA KIKE

Mtoto wa Komediani maarufu nchini, Hemedi Maliyaga ‘Mkwere’ aliyepewa jina la Shamsa Hemedi Maliyaga. Chande abdallah MSANII wa komedi anayeuza sura kupitia Kipindi cha Mizengwe kinachorushwa katika Kituo cha Televisheni cha ITV, Hemedi Maliyaga ‘Mkwere’ amefunguka kuwa anajivunia kupata mtoto wa kike baada ya mkewe kujifungua hivi karibuni.
 Mke wa Mkwere na watoto wake, Shamsa na Kamira...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Picha: Fid Q apata mtoto wa kike, Fidelie

Fareed Kubanda aka Fid Q na mchumba wake wamejaaliwa mtoto wa kike. Mtoto huyo amepewa jina Fidelie. Allah kanibless na Mtoto wa kike asubuhi hii.. Allah is always great 🙏 #FIDELIA #FIDELIA #FIDELIA pic.twitter.com/YwNiDx1ZBL — #KEMOSABE(Interlude) (@FidQ) September 25, 2015 Mtoto huyo amezaliwa asubuhi ya leo. Kupitia Instagram pia Fid ameandika: Alhamdulillah… She’s here, The […]

 

9 years ago

Bongo5

Mwanariadha wa kike wa Afrika Kusini, Caster Semenya apata jiko!

Semenya 1

Mwanariadha controversial wa nchini Afrika Kusini, Caster Semenya amedaiwa kufunga ndoa.

Semenya 1

Taarifa zimedai kuwa Semenya alifunga ndoa ya kimila wikiendi iliyopita.

Semenya 2

Caster na mpenzi wake wa muda mrefu Violet Raseboya walisherehekea harusi yao huko Ga-Dikgale kwenye wilaya ya Capricorn ya Limpopo.

Hata hivyo ndugu zake wa karibu wamekanusha taarifa hizo huku wengine wakidai huenda ilikuwa ni sherehe ya kuchumbiana tu.

Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter...

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto apata mtoto Paraguay.

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.

 

10 years ago

Vijimambo

Zari ajifungua mtoto wa kike

MTOTO WA ZARI
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.


Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...

 

11 years ago

Mwananchi

Raha ya kusomesha mtoto wa kike

Mzazi na mkazi wa Ubungo, Juma Mkopi anatamani angejaaliwa kupata watoto wa kike pekee.

 

5 years ago

BBCSwahili

Mtoto wa kike asifiwa na polisi

Esme apewa tuzo ya kuwa shujaa

 

10 years ago

GPL

HAMISA MABETO AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Mwanamitindo kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto (kushoto) akiwa na mimba kabla ya kujifungua kulia ni mtoto wake wa kike.
Hamisa Mobeto akiwa katika pozi. MWANAMITINDO kiwango Bongo, Hamisa Hassan Mobeto amejifungua mtoto wa kike hivi karibuni na kuwashangaza wengi kwani mimba hiyo ilikuwa na usiri mkubwa tofauti  na wafanyavyo mastaa wengine. Mtandao huu tunampa hongera… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani