Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha: Mr Blue apata mtoto wa pili, jinsia yake ni?

Mr Blue na mke wake wamepata mtoto wa pili. Awamu hii familia hiyo imepata mtoto wa kike aitwaye, Khairriyaaa. Khairriya Herry Sameer “Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana, hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru,” ameandika Blue kwenye Instagram. “Nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Mtazame mtoto wa Beyonce na Jay Z, Blue Ivy alivyokua

Beyonce na Jay Z wamekuza. Tazama picha za juzi za mtoto wao Blue Ivy akiwa na mama yake.

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce na mtoto wao Blue Ivy wafurahia ‘vekesheni’ Paris

Jay Z na Beyonce wameendelea kuzipoteza tetesi za kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe, kwa kuendelea na vekesheni na mtoto wao, Blue Ivy. Wanandoa hao walimpeleka mtoto wao kwenye makumbusho ya Louvre jijini Paris na kupiga picha kadhaa, bila kusahau selfies. Jionee.

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Fid Q apata mtoto wa kike, Fidelie

Fareed Kubanda aka Fid Q na mchumba wake wamejaaliwa mtoto wa kike. Mtoto huyo amepewa jina Fidelie. Allah kanibless na Mtoto wa kike asubuhi hii.. Allah is always great 🙏 #FIDELIA #FIDELIA #FIDELIA pic.twitter.com/YwNiDx1ZBL — #KEMOSABE(Interlude) (@FidQ) September 25, 2015 Mtoto huyo amezaliwa asubuhi ya leo. Kupitia Instagram pia Fid ameandika: Alhamdulillah… She’s here, The […]

 

11 years ago

Michuzi

Mahafali ya Pili Chuo cha Mafunzo ya Jinsia Tanzania Yafanyika

Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro (kushoto) akiwahutubia wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro (kushoto) akiwahutubia wahitimu wa mahafali ya pili ya chuo hicho leo katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es Salaam.Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (wa pili kushoto) akitoa hotuba yake kwa wanamahafali wa mafunzo ya jinsia katika chuo cha GTI leo. Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (wa pili kushoto) akitoa hotuba yake kwa wanamahafali wa mafunzo ya jinsia katika chuo cha GTI leo.Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian Liundi (kulia) wakiongoza maandamano ya wanamahafali ya pili ya Chuo cha GTI kuelekea ukumbuni kabla ya kuanza kwa hafla hiyo. 
Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Mafunzo ya Jinsia (GTI), Asseny Muro pamoja na Mkuu wa Chuo cha GTI, Zuki Mihyo (kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa TGNP Mtandao, Lilian...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kupanga jinsia ya mtoto

KWA kawaida, ujauzito hukaa kwa muda wa wiki 38 kabla ya kujifungua. Lakini kutokana na ugumu wa kujua hasa ujauzito ulitunga lini, wataalamu huweka kipindi cha wiki 40 kama wastani...

 

10 years ago

BBCSwahili

Mtoto apata mtoto Paraguay.

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA: Wolper, Mr Blue na Nyandu Tozi, Kunani?!!

Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies,  Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.

Wolper hakuweza kuweka wazi kama ni Movies au Music Video....

Yote kwa yote picha hizi zimewavutia wengi mtandaoni na kupata mafuliko ya LIKES na COMMENTS za kutosha.

Jionee picha hizo hapo juu.

 

10 years ago

CloudsFM

Unaijua ‘jinsia’ ya mtoto wa Zari na Diamond?

Shauku ya kumsubiria mtoto atakayezaliwa na mpenzi wa staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnuz,Zari imekuwa kubwa sana kwa mastaa hao baada ya kupost picha ya watoto wawili wa kike na wa kiume huku Zari akiandika A or B?Kupitia account zao za Instagram waliweka picha picha hizo huku mashabiki wengi wakipigia kura picha A ikionyesha kuwa mtoto wao atakuwa wa kike.Baadhi ya mashabiki waliopigia kura picha A kombaclara Bbbbbb 1h
happyjanuary91 A mum
pendomagere A 1h
rucrasure A 24min

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Davido a-share picha mpya za mtoto wake wa kike zinazomuonesha vizuri sura

Ukiachilia mbali Diamond Platnumz wa Tanzania na rapper AKA wa Afrika Kusini, Davido ni staa mwingine wa Afrika aliyepata mtoto hivi karibuni na anajivunia kuwa BABA. Davido na mama wa mwanaye Davido ambaye ni miezi mitatu imepita toka apate mtoto wa kike, amekuwa akishare na followers wake picha za mwanaye, ikiashiria kuwa ni jinsi gani […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani