Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PICHA: Wolper, Mr Blue na Nyandu Tozi, Kunani?!!

Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies,  Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.

Wolper hakuweza kuweka wazi kama ni Movies au Music Video....

Yote kwa yote picha hizi zimewavutia wengi mtandaoni na kupata mafuliko ya LIKES na COMMENTS za kutosha.

Jionee picha hizo hapo juu.

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

New Video: Bx ft Mr Blue, Nyandu Toz & Young Dee – Kesho

Hii ni Video Mpya kutok akwa rapper Bx akiwa amewashirikisha Mr Blue,Nyandu Toz na Young Dee ngoma inaitwa “Kesho” Video imeongozwa na Nick Dizzo

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Wema Sepetu na Ommy Dimpoz kunani kwani?

Wema Sepetu na Ommy Dimpoz wanazidi kuumizwa vichwa watu. Couples mpya ama ndio zile za project ziendelee? Yeah tunafahamu kuwa ushemeji hauna kikomo lakini hizi picha zinazoonekana ni kama zimevuka mpaka wa ushemeji. Maswali mengi kutoka kwa mashabiki wao ni kuwa ni kweli Ommy na Wema wameamua kuanzisha uhusiano licha ya ukweli kwamba Ommy ni […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema na mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni

Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana.  Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu,  Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.

Sisi yetu macho.

Kufahamu ni KODI gani...

 

10 years ago

Bongo Movies

Wema na mume wa mpenzi wa Linah kunani?? Picha yao ya kimahaba yanaswa mtandaoni

Nadhani hatuna haja ya kueleza zaidi ni maeneo gani hiyo picha itakuwa imepigwa. Wewe mwenyewe unaweza kuwa shahidi wetu. Pichani ni mwanadada wetu Wema Sepetu na kijana aliyetajwa kuwa ni mpenzi wa mwanamuziki linah sana.  Hatujui kinachoendelea mpaka sasa, yawezejana ni video mpya inafanyiwa promo, yawezekana ni tangazo la TV au bidhaa mpya mtaani na wala haituhusu,  Ila tumeona si vyema tusipowaletea kinachojiri hivi sasa kati ya hao wawili.

Sisi yetu macho.

Kufahamu ni KODI gani...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Mr Blue apata mtoto wa pili, jinsia yake ni?

Mr Blue na mke wake wamepata mtoto wa pili. Awamu hii familia hiyo imepata mtoto wa kike aitwaye, Khairriyaaa. Khairriya Herry Sameer “Alhamdulilahi mungu ni mwema sana sana, hatuna cha kumlipa zaidi ya kumuabudu kumtukuza na kumshukuru,” ameandika Blue kwenye Instagram. “Nakushukuru sana mungu wangu na nakushukuru pia mke wangu @wahyda_bysers_heart kwa kuniletea zawadi nyingine […]

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Mtazame mtoto wa Beyonce na Jay Z, Blue Ivy alivyokua

Beyonce na Jay Z wamekuza. Tazama picha za juzi za mtoto wao Blue Ivy akiwa na mama yake.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha: Mmh!! Hizi Tatu za Wolper Kiboko..

Hakuna anaebisha kuwa mwigizaji Jackline Massawe “Wolper”ni moja kati ya waigizaji warembo na wenye mvuto zaidi wa muonekano pengine sio kwa hapa bongo tu, bali hata Afrika nzima. Siku ya jana bila kuandika chochote alizibandika picha hizi mtandaoni hivyo kuwapa nafasi "followers" wake wafunguke kwa kile anachokiona kwenye picha hizi.

Kila mtu na jicho lake bwana!! Wapo walioona kitenge, miguu,macho,rangi, na nk ilimradi kila mtu alitililika....

Wewe je,umeona nini hapa?!!!

 

10 years ago

Bongo5

Picha: Jay Z na Beyonce na mtoto wao Blue Ivy wafurahia ‘vekesheni’ Paris

Jay Z na Beyonce wameendelea kuzipoteza tetesi za kuwa ndoa yao ipo kwenye mawe, kwa kuendelea na vekesheni na mtoto wao, Blue Ivy. Wanandoa hao walimpeleka mtoto wao kwenye makumbusho ya Louvre jijini Paris na kupiga picha kadhaa, bila kusahau selfies. Jionee.

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha za Wolper Akifanya Mazoezi Zawa Gumzo Mtandaoni!!!

Picha za mrembo na mwigizaji wa sinema za kibongo, Jackline Masawe ‘Wolper’ alizoziweka mtandaono akiwa nafanya mazoezi ya viungo zimezua mjadala na maswali mengi.

Wolper ambae kwasaa anaonekana  kuwa ‘Bonge’ , wiki iliyopita alitangaza kuanza kufanya mazoezi ili aurudie mwili wake wazamani,  toka juzi amekuwa akitupia mtandaoni picha hizo hapo juu  akiwa mazoezini.

Mbali na mashabiki wake wengi kumpamoyo kuwa aendelee kukomaa na mazoezi, wapo ambao waliona kama mwanadada japokuwani kweli...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani