New Video: Bx ft Mr Blue, Nyandu Toz & Young Dee – Kesho
Hii ni Video Mpya kutok akwa rapper Bx akiwa amewashirikisha Mr Blue,Nyandu Toz na Young Dee ngoma inaitwa “Kesho” Video imeongozwa na Nick Dizzo
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo506 Nov
Haya ndio yaliyowapeleka Young Dee na Nyandu Toz Afrika Kusini
![N-Y](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/N-Y-300x194.jpg)
Kama unawa-follow Young Dee na Nyandu Toz utakuwa umekutana na post zao nyingi kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii zinazooonesha wako Afrika kusini.
Haikuwa imewekwa wazi sababu zilizowapeleka huko, japo kutokana na ongezeko la wasanii wengi wa Bongo kwenda kufanya video Afrika Kusini, wengi walihisi pia na wao ndicho kilichowapeleka.
Young D na Nyandu wamesema kuwa wameenda Afrika Kusini kufanya show. “Nipo hapa na Nyandu Toz maeneo ya Johannesburg kwaajili ya maandalizi ya show...
9 years ago
Bongo501 Oct
Video: Jamie xx feat. Young Thug & Popcaan – I Know There’s Gonna Be (Good Times)
9 years ago
Bongo515 Oct
Video: Fid Q, Mwasiti, Izzo Bizness, Young D, Shilole, & Shaa – Piga Chata
10 years ago
Bongo518 Nov
Young Dee: Tetesi ya kula unga itanitesa mpaka kesho
10 years ago
Bongo506 Mar
New Music: Bushoke Ft Mr Blue & Dully Sykes – Angel
11 years ago
GPL20 Jul
10 years ago
Bongo Movies16 May
PICHA: Wolper, Mr Blue na Nyandu Tozi, Kunani?!!
Kupitia ukurasa wake matandaoni, Staa wa Bongo Movies, Jackqueline Wolper ameshare picha hizi akiwa na mastaa wa Bongo Fleva, Mr Blue na Nyandu Tozi na kusema kuwa wapo kazini.
Wolper hakuweza kuweka wazi kama ni Movies au Music Video....
Yote kwa yote picha hizi zimewavutia wengi mtandaoni na kupata mafuliko ya LIKES na COMMENTS za kutosha.
Jionee picha hizo hapo juu.
10 years ago
Bongo529 Nov
New Video: Quick Rocka f/ Young Dee — Bishoo
11 years ago
Michuzi18 Feb