Young Dee: Tetesi ya kula unga itanitesa mpaka kesho
Rapper Young Dee amedai kuwa skendo ya kuwa aliwahi kuvuta unga inaendelea kumtesa hadi sasa. Akiongea kwenye kipindi cha Mkasi TV cha EATV, Young Dee alidai kuwa alivunjika moyo zaidi baada kuulizwa na watu wake wa karibu ambao hakutegemea kama wanaweza kumuuliza swali hilo. “Unajua story nyingi zimeibuka kuhusu mimi, mimi story kubwa inanitesaga mpaka […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Video: Young D akizungumzia kutengana na meneja wake na tetesi za kuvuta unga kwenye XXL
Tazama mahojiano ya Young Dee kupitia kipindi XXL ya Clouds Fm, alipokuwa akizungumzia kuhusu kutengana na label yake ya zamani MDB. Hii ni baada ya boss wa kampuni hiyo Max Rioba kudai kuwa rapper huyo alizingua. Itazame interview yote hapa Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza iliporuka wiki iliyopita. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi […]
11 years ago
Bongo531 Jul
New Video: Bx ft Mr Blue, Nyandu Toz & Young Dee – Kesho
Hii ni Video Mpya kutok akwa rapper Bx akiwa amewashirikisha Mr Blue,Nyandu Toz na Young Dee ngoma inaitwa “Kesho” Video imeongozwa na Nick Dizzo
9 years ago
Bongo507 Oct
Young Killer ajiunga na kundi la Mtu Chee, achukua nafasi ya Young Dee aliyejitoa
Baada kuwa kimya kwa takribani miaka miwili, Kundi la Mtu Chee lililokuwa linaundwa na rappers watatu, Ibrahim Mandingo a.k.a Country Boy, David Genzi a.k.a Young Dee pamoja na Boniventure Kabogo a.k.a Stamina linarudi rasmi likiwa na mabadiliko. Country Boy Member na mmoja wa waanzilishi wa kundi hilo Country Boy amesema kuwa Mtu Chee imepata member […]
9 years ago
Bongo513 Oct
Young Killer atoa ufafanuzi kuhusu kama kweli amejiunga rasmi Mtu Chee, na kama ana beef na Young Dee baada ya kum-unfollow Instagram
Wiki iliyopita mmoja wa waanzilishi wa kundi la Mtu Chee, Country Boy alisema kuwa Young Dee amejiengua kwenye kundi hilo na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer. Wiki hii kuna cover imeanza kusambazwa ya ngoma mpya ya Mtu Chee ambayo kweli wanaonekana Country Boy, Stamina na Young Killer. Bongo5 imemtafuta Young Killer kutaka kufahamu kuhusu […]
11 years ago
GPL20 Jul
10 years ago
Africanjam.Com![](http://3.bp.blogspot.com/-6bxX-a8nnfk/VWlzaZLdC-I/AAAAAAAABrY/ixcla0lu6Gs/s72-c/cowobama.jpg)
10 years ago
GPL19 Sep
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/KtF8hZpsH-3hEtkhRT1-Jtzj4Kx8R0x-kNXUh9UJGa5IRJkPTm29x0sbWklmSz3QfRv3E2LgYbRbEz0rN*5QszqpSGlIrdnt/LULUNAYOUNG.jpg?width=650)
FUMANIZI LA LULU, YOUNG DEE UTATA
Stori:Â Musa Mateja na Mayasa Mariwata
MWISHONI mwa wiki iliyopita, taarifa zilienea katika mitandao ya kijamii na vyombo mbalimbali vya habari Bongo kwamba msanii wa Bongo Fleva, David Genzi ‘Young Dee’ na nyota wa filamu, Elizabeth Michael ‘Lulu’ wamebambwa na polisi wa doria wakivunja amri ya sita ndani ya gari aina ya Hyundai, Mbezi Beach jijini Dar es Salaam, tukio lililojaa utata mkubwa. ...
10 years ago
Bongo519 Sep
New Music: Young Dee Ft Jux — Siyo Mchoyo
Wimbo mpya kutoka kwa Young Dee akimshirikisha Jux ngoma inaitwa “Siyo Mchoyo” Producer Rash Don
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania