Video: Young D akizungumzia kutengana na meneja wake na tetesi za kuvuta unga kwenye XXL
Tazama mahojiano ya Young Dee kupitia kipindi XXL ya Clouds Fm, alipokuwa akizungumzia kuhusu kutengana na label yake ya zamani MDB. Hii ni baada ya boss wa kampuni hiyo Max Rioba kudai kuwa rapper huyo alizingua. Itazame interview yote hapa Kama hukupata nafasi ya kuisikiliza iliporuka wiki iliyopita. Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo518 Nov
Young Dee: Tetesi ya kula unga itanitesa mpaka kesho
10 years ago
Dewji Blog24 Nov
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Q Chief : “Mwambie TID aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasa hivi..Tell him to do music not to talk about me”
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/q-chief6.jpg)
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/tid_ray-c.jpg)
* Mwambie huyo Warioba kwamba Mugabe kakasirika kusikia...
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: Meneja na mke wa Mabeste, Lisa apanga kuwakutanisha mastaa wa kike kwenye mchezo wa ‘Rede’
![Lisa Mabeste](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/Lisa-Mabeste-300x194.jpg)
Kama wewe ni msichana una miaka zaidi ya 25 kwa sasa na enzi za utoto wako hukuwahi kucheza mchezo wa ‘Rede’, utakuwa ulikosa starehe kubwa.
Rede ni mchezo waliokuwa wakicheza wasichana ambapo wawili hukaa huku na kule na mmoja kuwa katikati akijitahidi kuijaza chupa mchanga huku akikwepa mpira anaopondwa na wawili hao.
Meneja na mke wa rapper Mabeste, Lisa Karl Fickenscher amesema anataka kuurudisha mchezo huo kwa kuandaa tamasha litakalohusisha mastaa mbalimbali wa kike na mashabiki...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/FsV0PLw632pwkVi6TSMQCZ2jl0zfn4HqIidRQVIrPWAx7IbTcUgQAjTiVbzaW4-pyD5wQufu6smyRvzOK-aQZM3UHQfmwtVw/XXL.jpg?width=650)
KILICHOTOKEA KWENYE XXL YA CLOUDS FM JUNE 02, 2014
10 years ago
CloudsFM11 Dec
MSHINDI WA BBA IDRISS SULTAN AKIWA LIVE KWENYE XXL
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa''BBA'',Idriss Sultan akisalimia na mtangazaji wa kipindi cha xxl cha Clouds Fm,B Dozen wakati akizungumzia ushindi wake.
Idriss akiwa na msanii John Makini...PICHA ZAIDI ZINAKUJA..
11 years ago
CloudsFM16 Jul
YOUNG KILLER ATUMIA BAJETI NDOGO KWENYE VIDEO YA NGOMA YAKE YA ‘MY POWER’
Video ya Msanii wa Hip Hop,Young Killer iitwayo ‘The Power’imeelezwa kuwa ni video iliyotumia gharama ndogo pengine kuliko video za wasanii wote wa Kibongo.
Aidha wasanii wanaongoza kwa kutumia gharama kubwa kwenye kutengeneza video zao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Sheta, Linah , Navy Kenzo, Weusi ila diamond ametajwa kuongoza kwa kutumia bajeti kubwa zaidi.
Huyu hapa Young Killer anafunguka kwanini ngoma yake imetumia gharama ndogo.
10 years ago
CloudsFM03 Dec
9 years ago
Bongo502 Nov
Stamina aondoa utata kuhusu Young Killer kuziba nafasi ya Young D kwenye Mtu Chee
![mtu chee2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/mtu-chee2-94x94.jpg)