KILICHOTOKEA KWENYE XXL YA CLOUDS FM JUNE 02, 2014
Watangazaji wa Kipindi cha XXL kinachoruka Clouds FM kuanzia saa 7 mchana hadi saa 10 jioni, Adam Mchomvu (kushoto), Hamis Mandi 'B12' (katikati) na Dj Fetty.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
CloudsFM03 Dec
9 years ago
Bongo521 Nov
Baada ya kusikika tena kwenye XXL, DJ Fetty ajibu kama amerejea rasmi Clouds
Ijumaa ya November 20 ilikuwa ni siku ya furaha kwa wasikilizaji wengi wa Clouds Fm hasa wa kipindi cha burudani XXL, baada ya kupata surprise ya kumsikia tena mtangazaji maarufu na anayependwa Fatma Hassan maarufu kama DJ Fetty kwenye kipindi hicho, ikiwa ni miezi miwili imepita toka alipotangaza kuacha kazi ya utangazaji September 15 mwaka huu.
Wengi wao walicomment kwenye akaunti zake za mitandao ya kijamii kuelezea furaha yao, na kwasababu hakusema kama amerudi rasmi kutangaza au laa,...
10 years ago
CloudsFM02 Dec
MKURUGENZI WA CLOUDS MEDIA,JOSEPH KUSAGA AKIWA LIVE KWENYE POWER BREAKFAST KUZUNGUMZIA MIAKA 15 YA CLOUDS FM
Mkurugenzi wa Clouds Media Group,Joseph Kusaga akizungumzia miaka 15 ya Clouds FM kwenye kipindi cha Power Breakfast leo na Gerald Hando,ambapo kauli mbiu ya sherehe ya mwaka huu ni #TunakufunguliaDunia #KuwaUnachotaka
11 years ago
Michuzi17 May
TAMASHA LA ZIFF June 14 to June 22, 2014
10 years ago
CloudsFM11 Dec
MSHINDI WA BBA IDRISS SULTAN AKIWA LIVE KWENYE XXL
Mshindi wa shindano la Big Brother Africa''BBA'',Idriss Sultan akisalimia na mtangazaji wa kipindi cha xxl cha Clouds Fm,B Dozen wakati akizungumzia ushindi wake.Idriss akiwa na msanii John Makini...PICHA ZAIDI ZINAKUJA..
9 years ago
Bongo530 Oct
Video: Young D akizungumzia kutengana na meneja wake na tetesi za kuvuta unga kwenye XXL
9 years ago
Bongo531 Dec
Njemba awaunganisha ex wake kwenye group la WhatsApp kuwatakia heri ya Christmas, kilichotokea ni balaa!
Umewahi kujiuliza inaweza kuwaje pale unapowakutanisha wapenzi wako wote wa zamani pamoja? Raha zaidi wakiwa wengi?
Ni mtihani kwa wanaume wengi lakini si kwa jamaa huyu aliyeamua kuwaunganisha ex wake na kuwatakia sikukuu njema ya Christmas ama kama yeye alivyoiita ‘ex-mas.’ Kijana huyo jasiri aitwaye Tom, alikuwa amekula bia mbili tatu na kupata ujasiri wa kuanzisha kundi la WhatsApp na kuwaunganisha maex wake wanne.
Hata hivyo wasichana hao Gemma, Bella, Steph na Lisa hawakupendezwa na...
10 years ago
Bongo Movies30 May
Baada ya Mwaka Moja, Leo Monalisa Atoboa Mazito Kuhusu Kilichotokea Kwenye Msiba wa George Tyson
Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka aliekuwa muongozaji wa filamu na vipindi vya TV hapa Bongo, George Tyson kufariki dunia, mwigizaji Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ambaye alizaa na marehemu afunguaka mazito kupitia ukurasa wake mtandaoni.
Mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu monalisa akiwa na marehemu Tyson na mtoto wao, monalisa aliandika;
Wiki 78 zilizopita @jojityson alipost hii pic na kuandika
My family @monalisatz @soniamonalisa
Leo ni mwaka mmoja toka uondoke George..bado ni ngumu...