Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Baada ya Mwaka Moja, Leo Monalisa Atoboa Mazito Kuhusu Kilichotokea Kwenye Msiba wa George Tyson

Leo ikiwa ni mwaka mmoja toka aliekuwa muongozaji wa filamu na vipindi vya TV hapa Bongo, George Tyson kufariki dunia, mwigizaji  Yvonne Cherrie ‘Monalisa’ ambaye alizaa na marehemu  afunguaka mazito kupitia ukurasa wake mtandaoni.

Mara baada ya kubandika picha hiyo hapo juu monalisa akiwa na marehemu Tyson na mtoto wao, monalisa aliandika;

Wiki 78 zilizopita @jojityson alipost hii pic na kuandika
My family @monalisatz @soniamonalisa

Leo ni mwaka mmoja toka uondoke George..bado ni ngumu...

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Breaking News: Msiba mwingine Bongo Movie “George Tyson” afariki kwenye ajali ya gari usiku huu

tyson_george

Produza maarufu wa filamu nchini George Tyson (pichani) amefariki dunia usiku huu kwenye ajali ya gari Morogoro wakitokea Dodoma na wenzake sita kujeruhiwa akiwemo Blogger maarufu DJ Choka.

Chanzo cha jali hiyo akijajulikana bado MOblog inaendelea kufuatilia kwa ukaribu zaidi na tutawapa taarifa hapo baadae.

Taarifa hizi zimethibitishwa na jamaa wa karibu wa marehemu.

MOblog inaungana na watanzania wote kuomboleza kifo cha marehemu George Tyson na inawaombea nafuu wote waliojeruhiwa kwenye...

 

11 years ago

Michuzi

UPDATES ZA MSIBA WA GEORGE TYSON

Mwili wa Marehemu George Tyson (pichani) utapelekwa nyumbani kwa marehemu Mbezi Beach (eneo la Makonde) kesho Jumanne Juni 3 kuanzia majira ya saa kumi jioni kwa ajili ya kuaga.
  Mwili utakuwepo nyumbani hapo mpaka siku ya Jumatano Juni 4,ambapo mwili utapelekwa kwenye viwanya vya Leaders Club,Kinondoni kwa ajili ya shughuli ya kuaga mwili na ibada fupi.
Baadae mwili utapelekwa kwenye Uwanja wa ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere tayari kwa kusafirishwa kwenye jijini Nairobi nchini Kenya kwa...

 

11 years ago

GPL

KUTOKA KATIKA MSIBA WA GEORGE TYSON MBEZI MAKONDE JIJINI DAR

Yvonney Chery ‘Monalisa’ akiwa na simanzi kubwa.
Kulia ni mke wa marehemu George Tyson akiwa msibani. (PICHA NA GLOBAL WhatsApp +0753 715 779 : Hamida…

 

11 years ago

Tanzania Daima

George Tyson kuagwa Leaders Club leo

MWILI wa aliyekuwa muasisi wa filamu za kibongo nchini, George Otieno ‘George Tyson’, unatarajiwa kuagwa leo katika viwanja vya Leaders Club, Kinondoni jijini Dar es Salaam kuanzia saa 3 asubuhi...

 

11 years ago

Michuzi

MAREHEMU GEORGE TYSON AAGWA LEO JIJINI DAR


Sehemu ya Wacheza Filamu nchini waliokuwa wamebeba Jeneza lenye Mwili wa Marehemu George Otieno Okomu (George Tyson) wakijipanga tayari kwa akili ya kuongoza shughuli ya Kuga mwili iliyofanyika kwenye viwanja vya Leaders Club,Kinondoni jijini Dar es Salaam leo.Mwili huo umesafirishwa kupelekwa nchini Kenya ambako ni nyumbani kwao na Marehemu kwa ajili ya mazishi yatakayofanyika Jumamosi ijayo baada ya kukamiliza kwa mipango yote.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,Mh. Said Meck Saddick...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani