Q Chief : “Mwambie TID aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasa hivi..Tell him to do music not to talk about me”
Kama ni mfatiliaji wa kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds Tv, utakuwa umekutana na interview ya T.I.D a.k.a Myama a.k.a Mzee Warioba akijibu swali la mtangazaji wa kipindi hicho “Casto Dickson” lililohusu sababu kubwa ya kuvunjika kwa Top Band,ambapo kwa TID alisema Q Chilla alikuwa na tamaa.
*kama atadanganya mbele ya jamii kwamba nimempa chake na ye chake amekitumia tofauti kunichoresha sidhani kama ni mtu mzuri kwangu, ni mtu mbaya……
* Mwambie huyo Warioba kwamba Mugabe kakasirika kusikia...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo530 Oct
Video: Young D akizungumzia kutengana na meneja wake na tetesi za kuvuta unga kwenye XXL
9 years ago
Bongo523 Oct
Q-Chief kuwashirikisha TID na Diamond
10 years ago
Bongo510 Feb
TID adai ni tamaa ndio iliyomuondoa Q-Chief Top Band
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’
![qchief](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/qchief-300x194.jpg)
Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’
Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.
Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.
“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.
Amedai...
9 years ago
Mwananchi11 Oct
MR BLUE :Sasa nimeacha kuvuta bangi asema ukiamua unaweza
10 years ago
Bongo Movies01 May
9 years ago
Bongo517 Dec
Music: TID Ft Bill Nass & Country Boy – Banjo
![T.I.D](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/T.I.D-300x194.jpg)
Huu ni wimbo mpya unaitwa “Banjo” kutoka kwa msanii TID amewashirikisha Bill Nass na Country Boy
Jiunge na Bongo5.com sasa Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Wauza ‘unga’ sasa wabuni mbinu mpya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/m1tWer77BeBi4bqw2BDl0p2u8XTbXhUJGZjbKG6FmzjTjFinJqMHSIDJqkBTDelWgXIzJz*qaEftS5NPgWTEDldZVVBXA0Oz/BANZAA.jpg?width=650)
BANZA: NILIANZA SIGARA, BANGI, UNGA ILA SASA…