Q-Chief kuwashirikisha TID na Diamond
Q-Chief amesema tayari amesharekodi wimbo wa pamoja na swahiba wake TID na sasa yupo kwenye mazungumzo na Diamond Platnumz kuhakikisha anaibariki pia ngoma hiyo. Q amesema baada ya kuona wamemaliza tofauti zao, alimshauri TID kufanya wimbo wa pamoja kama wasanii wakongwe wa muziki wa Bongo Flava. “Nimerekodi na TID ambaye tulikuwa tuna mgogoro ndani ya […]
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo510 Feb
TID adai ni tamaa ndio iliyomuondoa Q-Chief Top Band
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’
![qchief](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/qchief-300x194.jpg)
Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’
Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.
Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.
“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.
Amedai...
10 years ago
Vijimambo12 Feb
Q Chief : “Mwambie TID aache kuvuta unga watu wote tushaacha sasa hivi..Tell him to do music not to talk about me”
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/q-chief6.jpg)
![](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/02/tid_ray-c.jpg)
* Mwambie huyo Warioba kwamba Mugabe kakasirika kusikia...
10 years ago
Bongo514 Aug
New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz
10 years ago
Bongo503 Nov
TID kwa Diamond: Leta tuzo nyumbani, achana na maf*la!
10 years ago
Bongo512 Feb
Dully Sykes: Sishangai ugomvi wa Alikiba na Diamond, nashangaa wa TID na Q Chillah
5 years ago
Bongo514 Feb
Kazi aliyonipa Diamond nimeifanya – Q Chief
Msanii mkongwe wa muziki, Q Chief amesema amekamilisha ujio wa wimbo wake mpya wenye mahadhi ya Zouk.
Muimbaji huyo amedai alishauriwa na Diamond Platnumz kufanya muziki wa Zouk kwa kuwa ni muziki ambao alikuwa anaufanya katika kipindi cha nyuma na kumpatia mafanikio makubwa.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Q Chief amedai wimbo huo ambao umetayarishwa na maproducer watatu, utawarudisha nyuma wale mashabiki ambao waliumiss muziki huo.
“Namshukuru Mungu kazi imekamilika na mara ya mwisho...
10 years ago
CloudsFM25 Nov
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF
Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?
...
9 years ago
Bongo530 Oct
Chege apanga kuwashirikisha Mafikizolo