Kazi aliyonipa Diamond nimeifanya – Q Chief
Msanii mkongwe wa muziki, Q Chief amesema amekamilisha ujio wa wimbo wake mpya wenye mahadhi ya Zouk.
Muimbaji huyo amedai alishauriwa na Diamond Platnumz kufanya muziki wa Zouk kwa kuwa ni muziki ambao alikuwa anaufanya katika kipindi cha nyuma na kumpatia mafanikio makubwa.
Akiongea na Bongo5 Jumanne hii, Q Chief amedai wimbo huo ambao umetayarishwa na maproducer watatu, utawarudisha nyuma wale mashabiki ambao waliumiss muziki huo.
“Namshukuru Mungu kazi imekamilika na mara ya mwisho...
Bongo5
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo523 Oct
Q-Chief kuwashirikisha TID na Diamond
10 years ago
CloudsFM25 Nov
DIAMOND ATOA OFA YA NGOMA NA VIDEO KWA Q CHIEF
Mwaka 2012 kuliibuka bifu kati ya wasanii Q chillah na Diamond Platnumz, na ilikuwa ikionekana kuwa Q-Chillah ndiye mwenye tatizo na Diamond kwa sababu kabla ya bifu hilo Diamond alikuwa anamtaja Chilla kama moja kati ya wasanii waliomfanya kuingia ndani ya ‘game’ ya muziki wa Bongo Flava, lakini baadaye Q chief alianza kumtuhumu Diamond kuwa anamroga na kuchukua nyota yake.
Clouds fm ilimuuliza Diamond, anatamani msanii gani wa kitambo wa Bongo Fleva angekuwa anafanya vizuri mpaka leo?
...
9 years ago
Bongo514 Nov
Video: TID na Q-Chief wazungumzia kazi yao mpya ‘Mkungu wa Ndizi’
![qchief](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/11/qchief-300x194.jpg)
Wasanii wakongwe nchini TID na Q-Chief wameachia kazi yao ya pamoja iitwayo ‘Mkungu wa Ndizi.’
Wakiongea na Bongo5, wasanii hao walisema kuwa wimbo huo wenye mahadhi ya pwani una tofauti kubwa na kazi zao za nyuma.
Wamesema wameamua kuileta tena ladha ya muziki wa pwani wa Afrika Mashariki ambayo wanaamini imepotea redioni na pia kuonesha ukongwe wao.
“Hii ngoma mimi naiweka kwenye history kwasababu watu walishasema ‘hivi hawa watakuja kufanya tena kazi pamoja!’, amesema Q-Chief.
Amedai...
10 years ago
TheCitizen08 Mar
Tanzania’s youngest chief: Chief Adam Abdul
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YBFp7QfmCZcDS4qLgg8QxTF47gZRYXdV5w6ofcKOhjbupe62L332W1Xb4by*QO4csCehPk764thxvgpUrs-N8XGeWY24V84Y/wema.jpg?width=650)
WEMA,DIAMOND WAFUNGIWA KAZI!
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Diamond, Flavour, katika kazi moja
10 years ago
TheCitizen04 Jun
Chief’s grandson wants to be ‘paramount chief’
9 years ago
Bongo507 Jan
Video: Meneja wa Diamond ataja kazi inayofuata baada ya Utanipenda
![12393885_765525026914683_1478959651_n](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/01/12393885_765525026914683_1478959651_n-300x194.jpg)
Ni kitu baada ya kitu. Baada ya kuachia video ya Utanipenda, Diamond anatarajia kuachia kazi nyingine mpya mwezi huu.
“Nadhani mwezi huu [January] tuna collaboration na AKA ambayo video yake ipo tayari,” meneja wa Diamond, Sallam ameiambia Bongo5.
Amesema kwakuwa Utanipenda ni wimbo wa huzuni na wa kusikiliza zaidi, wameona ni vyema kuachia pia wimbo wa kuparty.
“Tuna stock nyingi na hii ni collaboration, yaani ni nyimbo ya AKA na Diamond kwahiyo tunapotoa nyimbo ya collabo mara nyingi...