Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chege apanga kuwashirikisha Mafikizolo

Chege Chigunda amedai kuwa yupo kwenye mazungumzo na kundi la Afrika Kusini, Mafikizolo ili kuwashirikisha. Akizungumza na Bongo5 kutoka Afrika Kusini, Julio Batalia ambaye yupo nchini Afrika Kusini na Chege, amesema wapo kwenye mazungumzo ya mwisho na Mafikizolo. “Kwa bahati nzuri kuna mambo mengine makubwa yanaendelea kwamba kuna kolabo nyingine itafanyika kati ya Chege na […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Picha: Akothee (Kenya) apanga kufanya remix na Black Coffee na kurekodi wimbo na Mafikizolo

Msanii wa Kenya, Akothee yupo nchini Afrika Kusini alikoenda kwa shughuli binafsi, biashara na muziki. Akothee akiwa kwenye mkutano na Mkurugenzi wa Black Mango Studio ambaye ni meneja wake wa Afrika Kusini Msanii huyo aliyekuja Tanzania mwezi uliopita, yupo kwenye mazungumzo na DJ maarufu wa Afrika Kusini, Black Coffee kufanya naye remix ya wimbo wake […]

 

10 years ago

Habarileo

`Ushindani wa namba ni mkubwa Azam’ Alikiba, Mafikizolo, Sauti Sol kutumbuiza pamoja Dar Na Mwandishi Wetu MWANAMUZIKI wa Tanzania Alikiba na Feza Kessy watapanda jukwaa moja na wakali Mafikizolo na Black Motion zote za Afrika Kusini katika tamasha la m

MCHEZAJI wa Azam FC, Kelvin Friday amesema ushindani wa namba ni mkubwa katika kikosi chake, hivyo anahitaji kuonesha juhudi ili kufanya vizuri na kuingizwa katika kikosi cha kwanza.

 

9 years ago

Bongo5

Q-Chief kuwashirikisha TID na Diamond

Q-Chief amesema tayari amesharekodi wimbo wa pamoja na swahiba wake TID na sasa yupo kwenye mazungumzo na Diamond Platnumz kuhakikisha anaibariki pia ngoma hiyo. Q amesema baada ya kuona wamemaliza tofauti zao, alimshauri TID kufanya wimbo wa pamoja kama wasanii wakongwe wa muziki wa Bongo Flava. “Nimerekodi na TID ambaye tulikuwa tuna mgogoro ndani ya […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Serikali kuwashirikisha vijana katika programu za maendeleo

DSC_0069

Mwakilishi wa Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Idadi ya watu duniani (UNFPA), Dkt Natalia Kanem akizungumza wakati wa maadhimisho hayo ya siku ya kimataifa ya vijana duniani kwenye viwanja vya  Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) Kushoto ni Mgeni Rasmi kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Vijana na Michezo, Bibi Venerose Mtenga na kulia ni Mtaalamu wa Programu za Vijana kutoka UNFPA, Tausi Hassan.( Picha na Zainul Mzige wa MOblog).

.Siku ya vijana duniani na ujumbe  wa “Vijana...

 

11 years ago

Michuzi

Dk. Kigwangala aitaka TAMISEMI kuwashirikisha Wananchi kubuni Vyanzo vya Mapato

Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Dk Hamis Kigwangala amezitaka Sekretarieti za mikoa na halmashauri zote nchini kuhakikisha kwamba inawashirikisha wananchi katika maandalizi ya bajeti kubuni vyanzo vya mapatao.
 Akiwasilisha maoni ya Kamati ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa bungeni leo kuhusu Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha 2013, mwenyekiti wa kamati hiyo, Dk...

 

10 years ago

Bongo5

New Video: Victoria kimani aachia video ya ‘Prokoto’ aliyoshoot Tanzania na kuwashirikisha Diamond na Dimpoz

Mwimbaji wa Kenya, Victoria Kimani ameachia video yake mpya ya ‘Prokoto’ aliyowashirikisha mastaa wa Bongo Diamond Platnumz pamoja na Ommy Dimpoz. Victoria ambaye pia yuko chini ya label ya Chocolate City ya Nigeria wiki chache zilizopita alimleta director wa Kenya, Kevin Bosco Jr na kushoot ‘Prokoto’ katika mazingira ya Dar es salaam. Audio imefanywa na […]

 

11 years ago

CloudsFM

MAFIKIZOLO WAMUOMBA KOLABO DIAMOND

Kundi la Mafikizolo la Afrika Kusini limemuomba kolabo Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platnumz ambapo jana (June 9) waliingia katika studio ya Oskido iliyoko Johannesburg kurekodi wimbo huo.“We doing a collaboration with Diamond,the song is sounding awesome yes” aliandika Theo Kgosinkwe wa Mafikizolo katika moja ya picha wakiwa studio na Diamond.Collabo hiyo ya Mafikizolo na Diamond itampa nafasi nzuri zaidi Platnumz sababu ya ukubwa walionao wanamuziki hao wa Afrika Kusini.
Mafikizolo ni...

 

10 years ago

Mtanzania

Pluijm apanga mauaji Zanzibar

yngNA SAADA AKIDA, ZANZIBAR

KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans Van Der Pluijm, amepanga kuifanyia mauaji timu ya JKU katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Mapinduzi utakaofanyika leo visiwani Zanzibar, huku akidai hatadharau timu yoyote iliyofikia hatua hiyo.

Wakati Yanga ikiwa na shughuli pevu kuvaana na JKU, Azam nayo itachuana vikali na Mtibwa Sugar, huku mabingwa watetezi KCCA wakicheza na Polisi Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alieleza kushtushwa...

 

9 years ago

BBCSwahili

Gerrard apanga kurejea Liverpool

Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard anapanga kurejea katika klabu hiyo kama mkufunzi atakapoacha kucheza.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani