Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pluijm apanga mauaji Zanzibar

yngNA SAADA AKIDA, ZANZIBAR

KOCHA Mkuu wa Yanga Mholanzi, Hans Van Der Pluijm, amepanga kuifanyia mauaji timu ya JKU katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Mapinduzi utakaofanyika leo visiwani Zanzibar, huku akidai hatadharau timu yoyote iliyofikia hatua hiyo.

Wakati Yanga ikiwa na shughuli pevu kuvaana na JKU, Azam nayo itachuana vikali na Mtibwa Sugar, huku mabingwa watetezi KCCA wakicheza na Polisi Zanzibar kwenye Uwanja wa Amaan.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Pluijm alieleza kushtushwa...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Mapinduzi ya Zanzibar: Mauaji ya Kimbari yaliyosahauliwa

Na Chris Oke. Nikizurura katika njia na chochoro nyembamba za Mji Mkongwe, napishana na wanaume wakinywa taratiibu kahawa isiyochujwa na wengine wakiwa wamesokotana wakicheza mchezo wa bao, ni vigumu kufikiria kwamba Zanzibar haikuwa sehemu yoyote ili […]

The post Mapinduzi ya Zanzibar: Mauaji ya Kimbari yaliyosahauliwa appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Ngoma, Nonga waanza mauaji Zanzibar

Yanga imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana huku Azam na Mtibwa zikianza kwa kuchechemea baada ya kutoka sare ya bao 1-1.

 

9 years ago

BBCSwahili

Gerrard apanga kurejea Liverpool

Nahodha wa zamani wa Liverpool Steven Gerrard anapanga kurejea katika klabu hiyo kama mkufunzi atakapoacha kucheza.

 

9 years ago

Bongo5

Chege apanga kuwashirikisha Mafikizolo

Chege Chigunda amedai kuwa yupo kwenye mazungumzo na kundi la Afrika Kusini, Mafikizolo ili kuwashirikisha. Akizungumza na Bongo5 kutoka Afrika Kusini, Julio Batalia ambaye yupo nchini Afrika Kusini na Chege, amesema wapo kwenye mazungumzo ya mwisho na Mafikizolo. “Kwa bahati nzuri kuna mambo mengine makubwa yanaendelea kwamba kuna kolabo nyingine itafanyika kati ya Chege na […]

 

10 years ago

Bongo5

Nay wa Mitego apanga kumshirikisha Wizkid

Nay wa Mitego amedai kuwa kwenye harakati za kufanya collabo na masupastaa wa Nigeria, Wizkid au D’Banj. Akizungumza kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV, Nay alisema tayari ameshafanya mazungumzo na uongozi wake pamoja na yeye mwenyewe Wizkid. “Tupo kwenye process ambazo zinaelekea mwishoni,” alisema. “Unajua yule ni mtu ambaye ana menejimenti lakini this […]

 

9 years ago

Bongo5

Shilole apanga kumshirikisha Yemi Alade

Shilole anapanga kumshirikisha Yemi Alade wa Nigeria. Shilole ameiambia Bongo5 kuwa kwa sasa wanajadiliana namna ya kufanya ya kazi. “Unajua Yemi ni msanii mkubwa na ana vitu vingi anafanya ila kila kitu kinaenda sawa,” amesema. “Watu wangu ambao wanazungumza na Yemi wanaendelea na kila kitu kinaenda sawa soon watu watasikia nini kinaendelea.” Shilole amedai ataachia […]

 

11 years ago

Bongo5

Rihanna apanga kuinunua klabu ya Liverpool

Hivi karibuni kulikuwa na ripoti kuwa muimbaji wa ‘Diamond’ Rihanna ana mpango wa kununua klabu ya soka ya nchini Uingereza lakini haikufahamika ni ipi. Na Jumanne hii gazeti la El Mundo Deportivo limethibitisha kuwa klabu hiyo ambayo Riri anataka kuinunua si nyingine bali ni Liverpool! Hiyo ni baada ya muimbaji huyo kupewa ushauri na mshambuliaji […]

 

10 years ago

GPL

APANGA CHUMBA, KUMBE NI CHOO, ATUMBUKIA!

Na Shani Ramadhani
HII nayo kali! Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Happy au mama Hassan, mkazi wa Mbande jijini Dar, wiki iliyopita yalimpata mazito kufuatia kutumbukia kwenye shimo la choo lililokuwa katikati ya chumba  anachoishi kwenye nyumba aliyopanga, Uwazi lina mkasa wote.
Muonekano wa chumba hicho chenye choo ndani. Tukio hilo lilitokea wakati mwanamama huyo akifanya usafi chumbani humo na kujikuta...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani