Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ngoma, Nonga waanza mauaji Zanzibar

Yanga imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana huku Azam na Mtibwa zikianza kwa kuchechemea baada ya kutoka sare ya bao 1-1.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nonga atua Yanga, Kessy ngoma nzito

KLABU ya Yanga imefunga usajili wa dirisha dogo jana kwa kumsajili mchezaji wa zamani wa Mbeya City Paul Nonga ambaye alikuwa akicheza katika timu ya Mwadui FC ya Shinyanga.

 

10 years ago

Dewji Blog

Msako mkali waanza mauaji ya Senzo Afrika Kusini

Football - Absa Premiership 2012/13 - Chippa United v Orlando Pirates - Athlone Stadium

Na Mwandishi wetu

Polisi nchini Afrika Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua mlinda mlango na nahodha wa timu ya taifa hilo Senzo Meyiwa(pichani).

Ili kufanikisha uchunguzi huo ufanyike kwa urahisi na haraka, polisi wameahidi zawadi nono ya randi 250,000 sawa na dola za kimarekani 14,000 hadi $23,000 kwa yeyote atakayetoa taarifa na kufanikisha kukamatwa kwa mtu huyo.

Taarifa za jeshi la polisi zinasema kuwa watu wawili waliingia ndani na mmoja alibaki nje...

 

9 years ago

Mwananchi

Mashahidi kesi ya mauaji ya Msuya waanza kutoa ushahidi

Upande wa mashahidi katika kesi ya mauaji ya mfanyabiashara tajiri wa madini wa Mererani, Erasto Msuya umeanza kutoa ushahidi wao jana.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kesi ya mauaji Polisi Moshi ngoma nzito

UPANDE wa utetezi katika kesi ya mauaji inayowakabili  raia wawili wa Kenya na Mtanzania mmoja wanaotuhumiwa kumuua  askari wa Jeshi la Polisi, Ex. PC Michael Milanzi, aliyeuawa kwa kupigwa risasi...

 

9 years ago

Global Publishers

Nonga aikosakosa Stand United

DSCF0654 Paul Nonga

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KAMA zari kwa Stand United, kwani yule mbaya wao Paul Nonga aliyesajiliwa na Yanga hatokuwepo katika mchezo wa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Nonga amesajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh milioni 40, lakini ameuomba ruhusa uongozi wa timu yake mpya akamalize mambo yake kisha ajiunge rasmi na timu hiyo.
Katika mchezo wake wa mwisho akiichezea Mwadui FC, Nonga alifunga bao moja lililoiwezesha timu hiyo...

 

9 years ago

Habarileo

Nonga afichua kilichompeleka Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Paul Nonga amesema amefurahi kusajiliwa na klabu hiyo kwa kuwa ni sehemu ambako atatumia kujenga mtandao mpya wa mafanikio.

 

5 years ago

Michuzi

ZANZIBAR KUMEKUCHA WAGOMBEA WAANZA KURUDISHA FOMU ZA URAIS

(Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kulia) akimkabidhi fomu za kuomba kuteuliwa kugombea Urais wa Zanzibar, Katibu wa Kamati Maalumu ya Idara ya Oganaizesheni ya CCM Zanzibar, Cassian Gallos Nyimbo, wakati aliporudisha fomu hiyo katika Ofisi za CCM Kisiwandui mjini Unguja, jana. (leo). (Picha na Muhidin Sufiani) (Mgombea nafasi ya kuteuliliwa urais wa Zanzibar) Mohammed Hija Mohammed (kushoto) akisalimiana na Kada wa Chama cha Mapinduzi nje ya Ofisi za...

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

JWTZ Waanza Mkong’oto Zanzibar,vituo muhimu vyaanza kulindwa

Askari wa Jeshi la Wananchi Tanzania, (JWTZ), wanaolinda Mnara wa Kumbukumbu ya Miaka 50 ya Mapinduzi, wanatuhumiwa kuwatesa na kuwachapa viboko madereva na makondakta wa daladala wanaotumia kituo cha abiria cha Kisonge, mjini hapa. Malalamiko hayo […]

The post JWTZ Waanza Mkong’oto Zanzibar,vituo muhimu vyaanza kulindwa appeared first on Mzalendo.net.

 

10 years ago

Michuzi

CCM ZANZIBAR WAANZA MCHAKATO WA KUTOA FOMU KWA WAGOMBEA WA UBUNGE

 Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akikabidhiwa Fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Kaskazini “B “ Bibi Subira Mohammed kuomba ridhaa kwa CCM kugombea Uwakilishi Jimbo Jipya la Mahonda. Katibu wa Chama cha Mapinduzi {CCM} Wilaya ya Kaskazini “B “ Bibi Subira Mohammed akimpatia maelezo Balozi Seif mara baada ya kumkabidhi Fomu kwa ajili ya kuomba ridhaa ya kugombea Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Jimbo la Mahonda hapo Ofisi ya CCM Wilaya hiyo Mahonda. Balozi Seif...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani