Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nonga afichua kilichompeleka Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga Paul Nonga amesema amefurahi kusajiliwa na klabu hiyo kwa kuwa ni sehemu ambako atatumia kujenga mtandao mpya wa mafanikio.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Nonga atua Yanga, Kessy ngoma nzito

KLABU ya Yanga imefunga usajili wa dirisha dogo jana kwa kumsajili mchezaji wa zamani wa Mbeya City Paul Nonga ambaye alikuwa akicheza katika timu ya Mwadui FC ya Shinyanga.

 

9 years ago

Global Publishers

Nonga aikosakosa Stand United

DSCF0654 Paul Nonga

Wilbert Molandi,
Dar es Salaam
KAMA zari kwa Stand United, kwani yule mbaya wao Paul Nonga aliyesajiliwa na Yanga hatokuwepo katika mchezo wa leo Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
Nonga amesajiliwa na Yanga kwa mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya Sh milioni 40, lakini ameuomba ruhusa uongozi wa timu yake mpya akamalize mambo yake kisha ajiunge rasmi na timu hiyo.
Katika mchezo wake wa mwisho akiichezea Mwadui FC, Nonga alifunga bao moja lililoiwezesha timu hiyo...

 

9 years ago

Mwananchi

Ngoma, Nonga waanza mauaji Zanzibar

Yanga imeanza vizuri mashindano ya Kombe la Mapinduzi baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mafunzo katika mchezo uliofanyika kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar jana huku Azam na Mtibwa zikianza kwa kuchechemea baada ya kutoka sare ya bao 1-1.

 

10 years ago

Mtanzania

JK afichua kipigo cha Lipumba

kkNa Fredy Azzah

SIKU chache baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wafuasi wake kupigwa na polisi, Rais Jakaya Kikwete amesema tukio hilo limetokea kwa sababu nchi inaongozwa kwa sheria na atakayekiuka atakumbana na mkono wa sheria.
Rais Kikwete alitoa kauli hiyo jana Ikulu jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari baada ya kufanya mazungumzo ya faragha na mgeni wake, Rais wa Ujerumani, Joachim Gauck, ambaye yuko nchini kwa ziara...

 

9 years ago

Habarileo

Warioba afichua siri ya Ukawa

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba amefichua siri ya vyama vya upinzani vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), akisema vilikwamisha mchakato huo ili baadaye viingize vipengele vyao wakiingia madarakani.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Sugu afichua ulaghai wa Sitta

MBUGE wa Mbeya Mjini (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ameeleza ulaghai alioutumia Samuel Sitta kupata ushindi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba na kumfanya Andrew Chenge kujiondoa kwenye kinyang’anyiro...

 

9 years ago

Mwananchi

Kerr afichua siri ya Simba

Kocha wa Simba, Dylan Kerr ametaja sababu kadhaa zinazoifanya timu yake ishindwe kupata matokeo mazuri kwenye mechi za Ligi Kuu.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Tendega afichua ufisadi wa vigogo

MGOMBEA ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Grace Tendega, amewalipua baadhi ya watendaji na viongozi wa serikali kwa kutumia vibaya ruzuku ya pembejeo za kilimo. Alisema moja ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani