Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto aliyenusurika kimuujiza Sudan Kusini apata fahamu

Msichana wa umri wa miezi 14 aliyenusurika ajali ya ndege mjini Juba, Sudan Kusini Jumatano amepata fahamu, madaktari wamesema

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Aliyenusurika meno ya Papa kurejea A.Kusini

Muogeleaji wa kuteleza kwenye mawimbi raia wa Australia aliyenusurika kung'atwa na papa Mick Fanning amesema kuwa atarejea kwenye mchezo huo.

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyenusurika kifo baada ya kukatwa kimeo

>“Mwanangu aitwaye Leri (si jina halisi) mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi mitatu. Siku ya pili baada ya kumpeleka kwa mkata vimeo maeneo ya Kariakoo, nilikuwa na matumaini atapona kikohozi kumbe nimemuongezea matatizo. Hali yake ni mbaya.

 

5 years ago

BBCSwahili

Amina ni Mtoto mchanga aliyenusurika baada ya kupigwa risasi mbili

Amina alikua ni mmoja wa manusura wenye umri mdogo zaidi katika wodi ya kujifungulia nchini Afghanstan.

 

10 years ago

GPL

MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU! AJALI YA KONTENA MAFINGA

Na Mwandishi Wetu, Iringa
BADO Mji wa Mafinga wilayani Mufindi mkoani hapa haujakaa sawa kufuatia vifo vya watu 50 waliopoteza maisha kwa ajali ya kontena kudondokea Basi la Majinja lenye namba za usajili T 438 CED iliyotokea Machi 11, 2015, Uwazi limechimba. Mtoto aliyenusurika kwenye ajali. Ajali hiyo ilitokea maeneo ya Changarawe mjini Mafinga ambapo kontena hilo lilikuwa kwenye lori la mizigo la Scania lenye namba za...

 

11 years ago

BBCSwahili

Michael Schumacher apata fahamu

Michael Schumacher alitoka hospitalini Grenoble na ataendelea kuishi kwa hali yake ya kawaida

 

10 years ago

GPL

HAYA NDIYO MAAJABU YAKE MTOTO ALIYENUSURIKA KWA MKONO WA MUNGU

Na Haruni Sanchawa
MTOTO Jacqueline Lepenza, aliyenusurika katika ajali mbaya ya basi lililogongana na lori huko Mafinga mkoani Iringa wiki mbili zilizopita, ameripotiwa kuwa na maajabu baada ya baba yake mzazi kujitokeza na kusimulia, Uwazi linakutaarifu. Jacqueline Lepenza, akiwa na baba'ke. Willy Lupenza, baba mzazi wa mtoto huyo mwenye umri wa miaka mitatu na nusu, alisema marehemu mke wake, Anjela Osward (35) (pichani)...

 

9 years ago

Bongo5

Lamar Odom apata fahamu baada ya tatu

Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom amepata fahamu baada ya hivi karibuni kupatikana akitokwa na damu puani na mdomoni na kupoteza fahamu kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya. Taarifa zimedai kuwa Odom alizungumza na kunyoosha kidole akiwa kwenye kitanda chake cha hospitali alikolazwa. […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Lamar Odom apata fahamu siku 3 baadaye

Mchezaji wa zamani wa mpira wa vikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani Lamar Odom hatimaye amepata fahamu siku tatu baada kuzirai ndani ya danguro katika jimbo la Nevada.

 

9 years ago

BBCSwahili

Mtoto apata mtoto Paraguay.

Binti wa miaka kumi na mmoja nchini Paraguay aliyedai kubakwa na baba yake wa kambo amejifungua mtoto wa kike salama.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani