Lamar Odom apata fahamu siku 3 baadaye
Mchezaji wa zamani wa mpira wa vikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani Lamar Odom hatimaye amepata fahamu siku tatu baada kuzirai ndani ya danguro katika jimbo la Nevada.
BBCSwahili
Habari Zinazoendana
9 years ago
Bongo519 Oct
Lamar Odom apata fahamu baada ya tatu
Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom amepata fahamu baada ya hivi karibuni kupatikana akitokwa na damu puani na mdomoni na kupoteza fahamu kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya. Taarifa zimedai kuwa Odom alizungumza na kunyoosha kidole akiwa kwenye kitanda chake cha hospitali alikolazwa. […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hnZ2zBlGGNWuuzygKwJeFDIMEHKgY8eSW9YX5qm2AqOyzQkqNPlNqKFIqUPDOsVThg7dXhIa8P2AqL6ol3cPc8nyHgzTLIft/1445477596_lamarodomkhloekardashianzoom.jpg?width=650)
KHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM
Lamar Odom akiwa na aliyekuwa mkewe Khloe Kardashian. California, Marekani
KWA sasa Khloe Kardashian amesitisha ishu yake ya kufuatilia talaka ya kuachana na mumewe wa ndoa, Lamar Odom na anataka kuhakikisha ndoto zake zinatimia kwa kuzaa naye mara atakapokuwa sawa. Lamar ambaye aliwahi kuwa mcheza kikapu wa NBA, kwa sasa yupo hospitali amelazwa baada ya kupoteza fahamu kwa takriban siku tatu kutokana na kuzidisha matumizi ya...
9 years ago
Bongo523 Oct
Mashabiki wajitolea kumchangia figo Lamar Odom
Lamar Odom ana mashabiki wa ukweli ambao miongoni mwao wako tayari kuchangia figo zao ili kumwondolea zake zilizoharibika. Watu kadhaa wamewasiliana na mchezaji huyo na mke wake Khloé Kardashian kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kusaidia chochote. Wakati huo mmiliki wa danguro ambalo Odom alikutwa akiwa hajitambui kwa kuzidisha madawa ya kulevya anataka alipwe gharama ambazo […]
9 years ago
Bongo528 Oct
Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian
Khloe Kardashian ameibuka na kuweka mambo sawa kuhusu uhusiano wake na Lamar Odom licha ya ripoti kuwa wawili hao wameamua kuipa ndoa yao nafasi nyingine. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la People, Khloe amesema kuwa licha ya kufuta kesi ya kudai talaka kwa mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, lakini haimaanishi kuwa wamerudiana. “Taarifa […]
9 years ago
Bongo528 Oct
Rob Kardashian ajitolea kumchangia figo Lamar Odom
Rob Kardashian, mdogo wao Kim na Khloe Kardashian amejitolea kumchangia figo Lamar Odom. Kwa mujibu wa ripoti, Rob yupo tayari kumsaidia shemeji yake kwa lolote awezalo. Afya ya mchezaji huyo wa zamani wa NBA ambaye ni mume Khloe bado haijakaa sawa baada ya kukutwa akiwa hajitambui kwenye danguro, mapema mwezi huu. Figo za Lamar ziliharibika […]
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4bIsJDjFjL5Ekr-tOHgPN5RgT9t*SNsStPYcfwJvQUPYRWpzd7*ShPwxN8nUgz5vJ3gPVGelACHq3a6USns*fPLBWxgwoB3J/1445887802_lamarodomarticle.jpg?width=650)
WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN
Staa wa mpira wa kikapu, Lamar Odom. Las Vegas, Marekani
WATOTO wa staa wa mpira wa kikapu,Lamar Odom, 35, Lamar Jr na Destiny hivi karibuni wamelipa fadhila kwa kumshukuru mama yao wa kufikia,Khloe Kardashian kwa mapenzi ya dhati aliyoyaonesha kwa baba yao tangu alipozidiwa Oktoba 13, mwaka huu. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani nchini Marekani mtu wa karibu kutoka ndani ya familia hiyo alisema watoto hao wamefikia...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1zNsEY*-CrJMyzCWvf7H5giWBFJylFCQgVcoUK2Bw8R7np3*JTEE6x2jo3gFNAtfXGZFOXrQdPJS90lSCFezJzk4KklWxT*X/lamarodomkimkardashian.jpg?width=650)
NENO ‘I LOVE YOU’ LAMZINDUA LAMAR ODOM
Lamar Odom. Las Vegas, Marekani
MUNGU mkubwa! Lamar Odom mwishoni mwa wiki hii aliamka baada ya kupoteza fahamu kwa zaidi ya siku tatu, kwa madai ya kuzidisha matumizi ya dawa za kulevya, lakini Ijumaa iliyopita alizinduka baada ya kusikia sauti ya mkewe, Khloe Kardashian, akimwambia ‘I love you’. Lamar, 35, ambaye ni staa wa zamani wa NBA, aliripotiwa kupoteza fahamu tangu Oktoba 13, mwaka huu na kulazwa kwenye Hospitali...
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-fxUMYVrnVPo/Vh6pkIbH04I/AAAAAAAAZpI/VH-dFZJIEiA/s72-c/Lamar-Odom.jpeg)
SAD: PIERS MORGAN WRITE ABOUT LAMAR ODOM'S TRAGEDY
![](http://4.bp.blogspot.com/-fxUMYVrnVPo/Vh6pkIbH04I/AAAAAAAAZpI/VH-dFZJIEiA/s640/Lamar-Odom.jpeg)
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/Lamar-2.jpg?width=650)
LAMAR ODOM HATIHATI KUPONA KWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA
Mchezaji maarufu wa mpira wa kikapu wa Marekani, Lamar Odom akiingizwa kwenye gari kupelekwa hospitali kwa matibabu. Lamar Odom akiwa na baba yake, Joe Lamar Odom akiwa uwanjani Lamar Odom na aliyekuwa mkewe, Khloe Kardashian.
Lamar Odom na familia yake.…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania