Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


LAMAR ODOM HATIHATI KUPONA KWA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA

Mchezaji maarufu wa  mpira wa kikapu wa Marekani, Lamar Odom akiingizwa kwenye gari kupelekwa hospitali kwa matibabu. Lamar Odom akiwa na baba yake, Joe Lamar Odom akiwa uwanjani Lamar Odom na aliyekuwa mkewe, Khloe Kardashian.
Lamar Odom na familia yake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian asema atadai tena talaka kama Lamar Odom atarudi kwenye matumizi ya madawa ya kulevya

Shemeji wa Kanye West, Khloe Kardashian amekuwa bega kwa bega na mumewe Lamar Odom toka alipolazwa hospitali mara ya kwanza baada ya kukutwa hajitambui kutokana na kuzidisha dawa za kulevya huko Las Vegas. Hali ya Lamar ilimfanya Khloe kuamua kuachana na aliyekuwa boyfriend wake James Harded, na kufuta kesi ya kudai talaka na kuipa ndoa […]

 

9 years ago

Bongo5

Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo

Mdogo wake Kim Kardashian, Khloe amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza toka aliyekuwa mume wake, mcheza kikapu wa Marekani Lamar Odom kupata matatizo ya afya baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha Cocaine. Khloe ambaye amekuwa hospitali akimuangalia Lamar muda mwingi toka alipolazwa, ametumia website yake kuwashukuru mashabiki, marafiki na familia kwa support […]

 

9 years ago

GPL

KHLOE ATAKA MTOTO NA LAMAR ODOM

Lamar Odom akiwa na aliyekuwa mkewe Khloe Kardashian. California, Marekani
KWA sasa Khloe Kardashian amesitisha ishu yake ya kufuatilia talaka ya kuachana na mumewe wa ndoa, Lamar Odom na anataka kuhakikisha ndoto zake zinatimia kwa kuzaa naye mara atakapokuwa sawa. Lamar ambaye aliwahi kuwa mcheza kikapu wa NBA, kwa sasa yupo hospitali amelazwa baada ya kupoteza fahamu kwa takriban siku tatu kutokana na kuzidisha matumizi ya...

 

9 years ago

Bongo5

Mashabiki wajitolea kumchangia figo Lamar Odom

Lamar Odom ana mashabiki wa ukweli ambao miongoni mwao wako tayari kuchangia figo zao ili kumwondolea zake zilizoharibika. Watu kadhaa wamewasiliana na mchezaji huyo na mke wake Khloé Kardashian kwenye mitandao ya kijamii wakitaka kusaidia chochote. Wakati huo mmiliki wa danguro ambalo Odom alikutwa akiwa hajitambui kwa kuzidisha madawa ya kulevya anataka alipwe gharama ambazo […]

 

9 years ago

Bongo5

Lamar Odom apata fahamu baada ya tatu

Mchezaji wa zamani wa mpira wa kikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani, Lamar Odom amepata fahamu baada ya hivi karibuni kupatikana akitokwa na damu puani na mdomoni na kupoteza fahamu kutokana na kutumia kiasi kikubwa cha madawa ya kulevya. Taarifa zimedai kuwa Odom alizungumza na kunyoosha kidole akiwa kwenye kitanda chake cha hospitali alikolazwa. […]

 

9 years ago

Bongo5

Mimi na Lamar Odom hatujarudiana! — Khloe Kardashian

Khloe Kardashian ameibuka na kuweka mambo sawa kuhusu uhusiano wake na Lamar Odom licha ya ripoti kuwa wawili hao wameamua kuipa ndoa yao nafasi nyingine. Akizungumza kwenye mahojiano na jarida la People, Khloe amesema kuwa licha ya kufuta kesi ya kudai talaka kwa mume wake Lamar Odom ambaye ni mgonjwa, lakini haimaanishi kuwa wamerudiana. “Taarifa […]

 

9 years ago

BBCSwahili

Lamar Odom apata fahamu siku 3 baadaye

Mchezaji wa zamani wa mpira wa vikapu katika ligi ya NBA nchini Marekani Lamar Odom hatimaye amepata fahamu siku tatu baada kuzirai ndani ya danguro katika jimbo la Nevada.

 

9 years ago

Vijimambo

SAD: PIERS MORGAN WRITE ABOUT LAMAR ODOM'S TRAGEDY

Lamar Odom Former Lakers Basketball Player  is in critical condition fighting for his life after being found unresponsive in a Nevada brothel.And here is writer Piers Morgans shares his opinion on the issue.There Can't be Many More Pitiful,Humiliating ways to potentially end your life than face down in an infamous Nevada brothel,vomiting uncontrollably from the overdose of herbal Viagra you took to keep up with myriad prostitutes during a 4-day binge.As I write, Lamar Odom is clinging on....

 

9 years ago

GPL

WATOTO WA LAMAR ODOM WAMLIPA FADHILA KHLOE KARDASHIAN

 Staa wa mpira wa kikapu, Lamar Odom. Las Vegas, Marekani
WATOTO wa staa wa mpira wa kikapu,Lamar Odom, 35, Lamar Jr na Destiny hivi karibuni wamelipa fadhila kwa kumshukuru mama yao wa kufikia,Khloe Kardashian kwa mapenzi ya dhati aliyoyaonesha kwa baba yao tangu alipozidiwa Oktoba 13, mwaka huu. Akichonga na mtandao maarufu wa burudani nchini Marekani mtu wa karibu kutoka ndani ya familia hiyo alisema watoto hao wamefikia...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani