Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ajifungua mtoto mwenye sura ya chura

Kitanda cha Upasuaji.MKAZI wa kijiji cha Chibwechangula –Behelo katika wilaya ya Mpwapwa mkoani Dodoma, Ruth Matonya (26) amejifungua mtoto wa ajabu ambaye nusu ya sura yake inafanana na binadamu na nusu ikifanana na chura.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

BBCSwahili

Mwanamke mwenye 'sura mbaya' atoa filamu

Mwanamke anayedaiwa kuwa na sura mbaya duniani na mitandao inayomuonea ametoa filamu kuhusu maisha yake.

 

10 years ago

Vijimambo

MPENZI WA MR NICE AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE, NICE ASEMA NDO MTOTO WAKE WA MWISHO

Mpenzi wa mwanzilishi wa style ya ‘Takeu’ Lucas Mkenda aka Mr Nice, amejifungua mtoto wa kike na kupewa jina la Nicole.
Mr Nice ambaye ni baba wa watoto wawili kwa sasa, Collin na Nicole, ameiambia Bongo5 kuwa Nicole ni mtoto wake wa mwisho ili aweze kuwatengezea maisha mazuri.“Sasa hivi ni uzazi wa mpango, huyu kwangu ndo mtoto wa mwisho, kuzaa tu kama mbwa itakuwaje? mwishowe utashindwa kuwatengenezea maisha mazuri,” alisema Nice.

 

10 years ago

Tanzania Daima

PROFESA ANNA KAJUMULO TIBAIJUKA: Mwanzilishi wa Bawata mwenye sura mbili

LEO katika safu yetu ya Mwana Mama, tunawaletea Profesa Anna Kajumulo Tibaijuka. Ni wazi habari juu ya Profesa Tibaijuka, zimeandikwa sana. Siandiki juu ya Profesa Tibaijuka Mbunge, mjumbe wa NEC...

 

10 years ago

GPL

MAMA AJIFUNGUA MTOTO WA AJABU

Na Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mama aliyetambulika kwa jina la Swaumu Sadick (25), mkazi wa Manzese jijini Dar, amejikuta yeye na manesi wakitimua mbio kwa woga baada ya kujifungua kiumbe wa ajabu. Swaumu Sadick akiwa hospitali baada ya kujifungua mtoto huyo. Kwa mujibu wa shuhuda wetu, tukio hilo ambalo kwa sasa ni gumzo, lilijiri hivi karibuni mishale ya saa 8:00 usiku kwenye Kituo cha Afya Cha Kijiji cha Mlali...

 

11 years ago

GPL

MAMTEI AJIFUNGUA MTOTO WA PILI

Stori: Nyemo Chilongani na Deogratius Mongela MUIGIZAJI wa kike, Cecilia Sospeter ‘Mamtei’ amejifungua mtoto wa kike. Mamtei alijifungua mtoto huyo aliyempa jina la Careen kwa njia ya upasuaji katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Jumamosi iliyopita, huku akiwa amezaa na mpenzi wake wa muda mrefu aitwaye Christopher John. Akizungumza na Ijumaa, Mamtei alisema: “Namshukuru Mungu kwa kujifungua salama, mwanangu...

 

10 years ago

Vijimambo

Zari ajifungua mtoto wa kike

MTOTO WA ZARI
Mama mzazi wa Diamond, Sanura Kassim ‘Sandra’ akiwa amembeba mjukuu weke. Kulia ni Zari
MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema Zari bado yupo hospitali mpaka sasa.


Kutokana na usumbufu aliodai unaweza kutokea, Salam hakuweka wazi hospitali...

 

11 years ago

GPL

DINA MARIOS AJIFUNGUA MTOTO WA KIUME

Mtangazaji mahiri wa Kipindi cha Leo Tena kinachoruka kupitia Clouds FM, Dina Marios, amejifungua mtoto wa kiume leo.

 

10 years ago

GPL

EXCLUSIVE: ZARI AJIFUNGUA MTOTO WA KIKE

Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan ‘Zari’. MPENZI wa mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ Zarinah Hassan ‘Zari’ amejifungua mtoto wa kike leo alfajiri saa 10: 40 jijini Dar es Salaam. Mtandao huu umeongea na Meneja wa kimataifa wa Diamond Platinumz, Salam Sharaf ambaye amethibitisha taarifa hizo na kusema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani