Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Atimua mkewe kwa kushindwa kudhibiti fisi

KATIKA hali isiyo ya kawaida, Limu Jumanne mkazi wa mkoani Singida, amemtimua na kumrejesha mkewe kwa wazazi wake akidai ni mvivu na mzembe kutokana na kushindwa kudhibiti kundi la fisi walioshambulia na kuua ndama sita wa ng’ombe akiwa machungani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Serikali yakiri kushindwa kudhibiti vifo vya wajawazito

SERIKALI imekiri kushindwa kudhibiti kwa kiwango kikubwa vifo vya wajawazito nchini jambo linalohatarisha zaidi maisha ya wanawake na kushindwa kufikiwa kwa Malengo ya Maendeleo ya Milenia ifikapo mwaka 2015. Kauli...

 

5 years ago

CCM Blog

MTOTO AMEAGA DUNI KWA KUSHAMBULIWA NA FISI

SALVATORY NTANDUWazazi na Walezi Mkoani Shinyanga wametakiwa kuchukua tahadhari kwa watoto wao dhidi ya  wanyama aina ya Fisi ambao wamekuwa wakionekana katika maeneo mbalimbali  na kusababisha madhara kwao ikiwemo ya vifo.
Kauli hiyo imetolewa na Kamanda wa Polisi mkoa wa Shinyanga ACP Debora Magiligimba June 2 wakati akizungumza na vyombo vya habari kuhusiana na tukio la kushambuliwa  hadi kufariki dunia kwa mtoto wa miaka miwili na nusu  aliyehamika kwa jina la Charles Christian katika...

 

9 years ago

Mtanzania

Msanii jela miaka 10 kwa kumiliki fisi

Msanii na FISI...NA TWALAD SALUM, MISUNGWI

MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi wa Wilaya ya Misungwi, mkoani Mwanza, imemhukumu msanii wa ngoma za asili, Mng’ahwa Kazanza (42), kwenda jela miaka 10 kwa kosa la kumiliki fisi wawili na kuwatumia kwenye sanaa zake bila kibali.

Awali akisomewa mashtaka katika mahakama hiyo na Mwendesha Mashtaka wa Polisi, Doroth Mgenyi, ilielezwa mahakamani hapo kuwa mnamo Septemba 28, mwaka huu, kwenye Kijiji cha Sisu wilayani Misungwi, majira ya saa 7:30 mchana, Mng’ahwa Kazanza (42)...

 

10 years ago

Dewji Blog

Picha za tukio la kuuwawa kwa Fisi mjini Singida ziko hapa!

DSC01596

Baadhi ya askari polisi wakishiriki kumtoa Fisi ambaye alikuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida. DSC01597 Baadhi ya wananchi wa mji wa Singida wakishuhudia kutolewa nje Fisi aliyekuwa amejificha ndani ya duka la mitumba mjini Singida. DSC01600 Badhi ya wananchi wa mji wa Singida,wakishiriki kumuuawa Fisi aliyevamia mji wa Singida na kusababisha hofu kubwa kwa wakazi. DSC01604 Fisi aliyevamia Singida mjini, akiwa kwenye gari la polisi baada ya kushambuliwa na wananchi kwa silaha za...

 

10 years ago

Bongo5

Rapper amuua mkewe na kujiua, mkewe alimsaliti na Trey Songz, Mayweather ashuhudia tukio zima la mauaji!

Rapper wa Marekani, Earl Hayes amemuua mke wake Stephanie Moseley aliyekuwa staa kwenye kipindi cha “Hit the Floor” cha VH1 kwa risasi na yeye kujiua kutokana na wivu wa mapenzi. Stephanie Moseley Hayes alikuwa ameumizwa na uhusiano wa kimapenzi aliokuwa nao mke wake na Trey Songz. Stephanie Moseley aliuawa nyumbani kwao na mume wake huyo […]

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ajira za undugu ni kushindwa kwa mfumo

MOJA kati ya mambo yaliyotawala katika vyombo vya habari hapa nchini wiki iliyopita ni ajira zinazodaiwa kutolewa na Idara ya Uhamiaji kwa watu wenye uhusiano na watendaji wa idara hiyo....

 

11 years ago

Mwananchi

Watabiri kushindwa kwa mpango wa BRN

Tanzania haiwezi kukua kiuchumi kupitia mpango wa Matokeo Makubwa Sasa, BRN, kwa kuwa hakuna watu wenye moyo na nia ya kusimamia uchumi kwa maendeleo ya umma na hata kufikia mpango huo.

 

11 years ago

Habarileo

Auawa kwa kushindwa kulipa 500/-

MATUKIO ya mauaji ya kikatili yameendelea kutokea wilayani hapa, ambapo mtu mmoja, mkazi wa kijiji cha Kazila, ameuawa na mdai wake kwa kushindwa kulipa deni la Sh 500 baada ya kula nyama ya nguruwe, maarufu kama ‘kitimoto’. Charles Abel (20) aliuawa kwa kupigwa na kipande cha kuni tumboni na muuzaji wa nyama hiyo, Gosbert Frednand (19).

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri ajiua kwa kushindwa uchaguzi

Wakati Rais wa Malawi, Joyce Banda akizidi kuelemewa kwenye uchaguzi uliofanyika Jumanne wiki hii, Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa, Godfrey Kamanya amejiua baada ya kubaini ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani