Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


JK: Sifa yangu ni kutekeleza ahadi

HUKU akikaribia kukabidhi madaraka kwa Rais wa Awamu ya Tano baadaye mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya sifa yake na ya chama tawala, CCM, ni kutekeleza ahadi walizowaahidi Watanzania wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Azan ajigamba kutekeleza ahadi

MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wana CCM kumpigia kura ya maoni, kupeperusha bendera ya chama hicho kwa mara ya tatu alete maendeleo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagasheki akumbushwa kutekeleza ahadi

SERIKALI imekumbushwa kutekeleza ahadi yake ya kuwadhamini watu 100 wakiwamo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupanda Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 52...

 

11 years ago

Habarileo

Wahisani waanza kutekeleza ahadi

KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kutekeleza ahadi za Mgimwa jimboni kwake

Wakati Rais Jakaya Kikwete jana akiongoza mamia ya wakazi wa Mkoa wa Iringa na mikoa ya jirani kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuwa Serikali itatekeleza ahadi alizotoa jimboni kwake.

 

10 years ago

StarTV

Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.

Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.

loans online sc ...

 

10 years ago

Mtanzania

Serikali yatakiwa kukiri kushindwa kutekeleza ahadi zake

rajab-mbarouk-april24-2013Na Debora Sanja, Dodoma

MBUNGE wa Ole, Rajab Mbarouk Mohamed (CUF), ameitaka Serikali kukiri kushindwa kutekeleza ahadi za Rais Jakaya Kikwete kwa kuwa muda wa utekelezaji wake umekwisha.

Akiuliza swali la nyongeza bungeni jana, alisema kitendo cha Serikali kushindwa kukamilisha ahadi ya Kikwete ya kujenga barabara ya kilomita 2.5 ya Singano kwa Mkocho hadi Kivinje ni dalili ya kushindwa kwa Serikali hiyo.

“Kwanini Serikali hii ya CCM sasa isiwathibitishie wananchi kwamba imeshindwa...

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay aanza kutekeleza ahadi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Zefrin Lubuva (kushoto) akikabidhi fedha kwa Katibu wa Shina la CCM Morogoro Store, Ramadhan Abdallah, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya kutunisha mfuko na kukihimarisha chama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Shina la CCM Morogoro Store,Majibu Joseph.

 

9 years ago

Michuzi

ZUNGU AANZA KUTEKELEZA AHADI ALIYOITOA WAKATI WA KAMPENI

  Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Ferry Beach Boys, Selemani Ally 'Kaseja' nyaraka za  Pikipiki aina ya GSM ayowaahidi wakati wa Kampeni zake, jijini Dar es Salaam leo .(PICHA NA  KHAMISI MUSSA) Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Zungu (CCM) (mwenye kofia) akimkabidhi nahodha wa timu ya Ferry Beach Boys, Selemani Ally 'Kaseja' namba ya Pikipiki hiyo, Dar es Salaam leo.  

 

11 years ago

Dewji Blog

Wakala wa mbegu kutekeleza ahadi ya Rais ya kuzalisha mchele tani 1.5 milioni

Na Nathaniel Limu, Babati

WAKALA wa Mbegu za Kilimo wa Taifa (ASA) umejiwekea mikakati madhubuti ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2015, uzalishaji wa mchele nchini uwe umefikia tani 1.5 milioni ili kutekeleza agizo alilotoa Rais Jakaya Kikwete.

Hayo yamesemwa hivi karibuni na Meneja Masoko na Usambazaji ASA,Philemon Kawamala kwa nyakati tofauti wakati akikagua mashamba darasa ya mazao ya alizeti,mtama,uwele,mahindi,mpunga wa mabondeni na ule wa mpunga mpya ambao unalimwa kwenye ardhi ya nyanda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani