Wakala wa mbegu kutekeleza ahadi ya Rais ya kuzalisha mchele tani 1.5 milioni
Na Nathaniel Limu, Babati
WAKALA wa Mbegu za Kilimo wa Taifa (ASA) umejiwekea mikakati madhubuti ya kuhakikisha ifikapo mwaka 2015, uzalishaji wa mchele nchini uwe umefikia tani 1.5 milioni ili kutekeleza agizo alilotoa Rais Jakaya Kikwete.
Hayo yamesemwa hivi karibuni na Meneja Masoko na Usambazaji ASA,Philemon Kawamala kwa nyakati tofauti wakati akikagua mashamba darasa ya mazao ya alizeti,mtama,uwele,mahindi,mpunga wa mabondeni na ule wa mpunga mpya ambao unalimwa kwenye ardhi ya nyanda...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Tanzania ina uwezo wa kuzalisha mchele kutosheleza soko la EAC
10 years ago
GPLMBUNGE GODFREY MGIMWA ASEMA AMETUMIA ZAIDI YA TSH MILIONI 68 KWA MIENZI MITATU YA UBUNGE WAKE KUTEKELEZA AHADI 90 ZA MBUNGE WA KALENGA ALIYEFARIKI DUNIA DR WILIAM MGIMWA
10 years ago
Tanzania Daima04 Nov
Watakiwa kuzalisha mbegu bora
NAIBU Waziri wa Kilimo na Chakula, Godfrey Zambi, amewataka wazalishaji wa mbegu kuhakikisha kuwa wanazalisha mbegu bora zinazozingatia viwango ili kukuza sekta ya kilimo na kuleta mapinduzi ya kijani. Zambi,...
5 years ago
Michuzi24 Apr
WIZARA YA KILIMO KUSHIRIKIANA NA SUA KUZALISHA MBEGU BORA ZA MAZAO
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/15cf33f3-3818-4b4d-8d3e-833ea75fd766.jpg)
Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiongea wakati akikagua shamba darasa la zao la chai alipotembelea Chuo Kikuu cha Sokoine leo mjini Morogoro.Kulia kwake ni Dkt.Kudra Abdul Mkuu wa Idara ya Mimea Vipande na Kilimo cha Bustani.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/04/DSC_1316-1.jpg)
atibu Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akiwa ameshika mche wa nanasi wakati alipokagua shamba darasa la kufundishia wanafunzi chuo Kikuu cha Sokoine leo mjini Morogoro.Kushoto ni Bw.Ramadhani Omari Mhadhiri wa mafunzo ya bustani na wa kwanza kulia ni...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-OUExx4Ph6UY/XoLVh4XLdEI/AAAAAAALlpI/pxxdb9USpd4Txw3_uQj5zDpP0mLyMwBbwCLcBGAsYHQ/s72-c/km-ASAAAA-768x512.jpg)
KUSAYA AAGIZA WAKALA WA MBEGU ZA KILIMO ASA KUSOGEZA HUDUMA KATIKA MAENEO YA WAKULIMA NCHINI
Na Bashiri Salum,Morogoro.
Wakala wa Mbegu za Kilimo ASA wametakiwa kuanzisha maduka ya mbegu katika maeneo walipo wakulima ili kuwapunguzia gharama ya kuzifuta Morogoro mjini.
Akizungumza na watumishi leo alipotembelea taasisi hiyo Katibu Mkuu Kilimo Bw. Gerald Kusaya amesema ASA ni Taasisi pekee ya mbegu nchini hivyo inatakiwa kuwafika wakulima wote nchini.
Huduma ya mbegu bora inatakiwa na kilia mkulima hivyo ni lazima ASA wafikirie namna ya kushusha huduma zao chini kwa wakulima...
10 years ago
Habarileo10 Aug
JK: Sifa yangu ni kutekeleza ahadi
HUKU akikaribia kukabidhi madaraka kwa Rais wa Awamu ya Tano baadaye mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya sifa yake na ya chama tawala, CCM, ni kutekeleza ahadi walizowaahidi Watanzania wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010.
10 years ago
Habarileo31 Jul
Azan ajigamba kutekeleza ahadi
MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wana CCM kumpigia kura ya maoni, kupeperusha bendera ya chama hicho kwa mara ya tatu alete maendeleo.
11 years ago
Habarileo06 Jun
Wahisani waanza kutekeleza ahadi
KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.
11 years ago
Tanzania Daima17 Dec
Kagasheki akumbushwa kutekeleza ahadi
SERIKALI imekumbushwa kutekeleza ahadi yake ya kuwadhamini watu 100 wakiwamo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupanda Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 52...