Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi CUF waaswa kutekeleza ahadi zao.

Na Abdalla Pandu,

Zanzibar.

 

Katibu mkuu wa Chama cha wananchi CUF Maalim Seif Sharif Hamadi amewataka viongozi wa chama hicho kujenga utamaduni wa kutekeleza ahadi wanazotoa na kuacha tabia ya kuahidi mambo wasiyoyaweza kuyatekeleza kwani ndio chanzo cha migogoro kati yao na wananchi.

Anasema viongozi hutumia fursa za kampeni za kutaka uongozi kwa kutoa ahadi nyingi ambazo wanashindwa kuzitekeleza ipasavyo hali inayochangia wananchi kutokuwa na imani na viongozi hao.

loans online sc ...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

StarTV

Wakazi Bariadi waaswa kuvumilia viongozi waliowachagua katika kutekeleza ahadi zao.

 

Wakazi wa wilayani Bariadi mkoani Simiyu waaswa kuwa na subira katika utekelezaji wa ahadi za viongozi waliochaguliwa kwa sababu haziwezi kutekelezwa kwa wakati mmoja bali kwa mpangilio maalumu na kuzingatia vipaumbele vya wananchi.

Ushauri huo umetolewa na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi wilayani Bariadi Bi.  Juliana Mahongo katika kikao wadau wa maendeleo kilicholenga kumpongeza Rais John Pombe Magufuri kwa ushindi.

Bi. Mahongo amesema anaimani kubwa na viongozi waliochaguliwa kupitia...

 

10 years ago

Michuzi

FILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO

Mbunge  Filikunjombe  akisisitiza  jambo  wakati  akitoa  salamu  zake kwenye  mazishi ya SR. Instrude mariaKatibu mwenezi wa CCM mkoa  wa  Njombe Bw Honolatus Mgaya kushoto  na  mbunge wa Ludewa  Deo Filikunjombe  kulia  wakishirikiana na wananchi  wa  Njombe  kubeba jeneza na SR. Maria.  Mbunge  Filikunjombe katika usikivu mkubwa
 Na Matukiodaima BLoG
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge ili...

 

10 years ago

GPL

FILIKUNJOMBE ATAKA VIONGOZI WA DINI KUWAOMBEA WABUNGE WATIMIZE AHADI ZAO‏

Mbunge  wa  Ludewa  Deo  Filikunjombe  akiteta  jambo na askofu  wa kanisa  Katoliki  jimbo la Njombe Mhashamu Alfred  Maluma Mbunge  Filikunjombe  akisisitiza  jambo  wakati  akitoa  salamu  zake kwenye  mazishi ya SR. Instrude maria
Mbunge wa jimbo la Ludewa Deo Filikunjombe amewaomba viongozi wa dini nchini
kuendelea kuwaombea viongozi wa serikali wakiwemo wabunge...

 

10 years ago

Habarileo

Azan ajigamba kutekeleza ahadi

MBUNGE wa Kinondoni, Idd Azzan amewaomba wana CCM kumpigia kura ya maoni, kupeperusha bendera ya chama hicho kwa mara ya tatu alete maendeleo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kagasheki akumbushwa kutekeleza ahadi

SERIKALI imekumbushwa kutekeleza ahadi yake ya kuwadhamini watu 100 wakiwamo askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), kupanda Mlima Kilimanjaro kama sehemu ya maadhimisho ya sherehe za miaka 52...

 

10 years ago

Habarileo

JK: Sifa yangu ni kutekeleza ahadi

HUKU akikaribia kukabidhi madaraka kwa Rais wa Awamu ya Tano baadaye mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete amesema moja ya sifa yake na ya chama tawala, CCM, ni kutekeleza ahadi walizowaahidi Watanzania wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu mwaka 2010.

 

11 years ago

Habarileo

Wahisani waanza kutekeleza ahadi

KILIO cha wabunge kuhusu baadhi ya wizara kukosa fedha kama zilivyoidhinishwa na Bunge katika Bajeti inayoisha, kimesikika ambapo mazungumzo kati ya Serikali na wahisani, yamezaa matunda kwa baadhi ya wahisani kukubali kutoa fedha hizo kabla la Juni 30, mwaka huu.

 

11 years ago

Mwananchi

Serikali kutekeleza ahadi za Mgimwa jimboni kwake

Wakati Rais Jakaya Kikwete jana akiongoza mamia ya wakazi wa Mkoa wa Iringa na mikoa ya jirani kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri wa Fedha, Dk William Mgimwa, Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameahidi kuwa Serikali itatekeleza ahadi alizotoa jimboni kwake.

 

10 years ago

Michuzi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay aanza kutekeleza ahadi

Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Oysterbay, Zefrin Lubuva (kushoto) akikabidhi fedha kwa Katibu wa Shina la CCM Morogoro Store, Ramadhan Abdallah, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa ahadi ya kutunisha mfuko na kukihimarisha chama kuelekea kwenye uchaguzi mkuu 2015.Kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Shina la CCM Morogoro Store,Majibu Joseph.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani