Toto wataendelea kuwa watoto wa Yanga au vinginevyo?
Pengine majiji matatu makubwa yanayopendwa na kuheshimika zaidi Tanzania ni Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Ni kama ambavyo Waingereza wanathamini majiji ya London, Manchester na Birmingham. Katika soka, majiji hayo yote yana timu za Ligi Kuu na zimekuwa sehemu ya alama ya majiji hayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MillardAyo25 Dec
TFF yawataka Yanga kufanya hivi vinginevyo watakatwa mapato yao ya mechi …
Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania TFF limepitia ombi la chama cha wanasoka Tanzania SPUTANZA, TFF ambayo ilipokea ombi la SPUTANZA kushughulikia madai ya muda mrefu ya wachezaji wa zamani wa Yanga, ambao waliachwa wakati wakiwa bado wanaidai klabu hiyo. December 24 mwenyekiti wa SPUTANZA Musa Kisoki alithibitisha kupatiwa ufumbuzi suala hilo. Wachezaji wanaoidai Yanga […]
The post TFF yawataka Yanga kufanya hivi vinginevyo watakatwa mapato yao ya mechi … appeared first on...
9 years ago
Habarileo21 Oct
Ni Yanga na Toto lake Dar
BAADA ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga na Azam FC kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wao uliopita, leo Yanga wana kibarua kingine watakapoikaribisha Toto Africans ya Mwanza kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.
10 years ago
Bongo Movies10 Mar
Ashley Toto Akanusha Kuwa na Mhusiano na Diamond
Mrembo na mwigizaji wa filamu wa hapa Bongo anayefanyia kazi zake inchini Ujerumani, Ashuu Ally “Ashley Toto amekanusha kuwa na mahusia yo kimapenzi na staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz kufuatia taarifa za udaku zilizoenea hivi karibuni kwenye mazagezi ya udaku na blogu mbalimbali kuwa wawili hawo wapo kwenye mahusino ya siri.
Kupitia ukurasa wake wa kwenye mtandao wa Instagram Ashley Toto alibandika picha ya moja ya blogu (hapo juu) iliyoandika stori hiyo na kuandika maneno...
9 years ago
Mwananchi09 Sep
Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga
9 years ago
Vijimambo10 years ago
Mwananchi19 Oct
Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini
10 years ago
Habarileo12 Nov
Wahadzabe, Wasandawe wataendelea kulindwa, asema Pinda
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema Serikali itaendelea kuyalinda makabila madogo nchini, yakiwemo ya Wahdazabe na Wasandawe ambayo yanategemea rasilimali misitu kwa maisha yao na ustawi wao.
10 years ago
Vijimambo19 Oct
Ndesamburo: CCM wataendelea kunisindikiza Moshi Mjini