Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga

Licha ya kuisifu Yanga kama moja ya timu kubwa na bora nchini, kocha mkuu wa Toto Africans ya Mwanza, Martin Glerics amesema hatambui kama kuna undugu kati ya timu hizo na atahakikisha anaifunga kila atakapokutana nayo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Raia Tanzania

Toto African yamsaka kocha Mjerumani

KLABU ya Toto African ya   Mwanza inatarajia  kumpata kocha mpya  kutoka Ujerumani  Agosti 2, mwaka huu ambae atakinoa kikosi hicho kwa ajili ya ligi kuu msimu  ujao.

Timu ya Toto African iliyopata daraja   msimu  uliopita kwa sasa inaendelea na mazoezi ikiwa chini ya kocha John Tegete aliyekipandisha kikosi hicho.

Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa klabu hiyo Ahmed Waziri Gau alisema  kocha huyo atakapowasili mara moja ataanza  kuiandaa timu yao.

Gau alisema...

 

10 years ago

Mwananchi

Udugu kando, vita Yanga, KMKM

Afe kipa, afe beki, ushindi lazima upatikane leo. Ndivyo pengine inavyosema Yanga inapoikabili KMKM ya Zanzibar kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam ikihitaji ushindi kwa hali yoyote ili kucheza robo fainali.

 

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani aziita Simba, Yanga

Kocha Martin Grelics aliyejiuzulu kuifundisha Toto Africans hivi karibuni, amesema yuko tayari kuzifundisha Simba au Yanga iwapo zitahitaji huduma yake.

 

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani aipa tano Simba, aishangaa Yanga

Kocha Mjerumani aliyebwaga manyanga ya kuinoa Toto Africans, Martin Grelics amesifu aina ya soka ambalo timu ya Simba imekuwa ikicheza, huku akishangazwa na kiwango cha Yanga.

 

9 years ago

Habarileo

Ni Yanga na Toto lake Dar

BAADA ya vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga na Azam FC kutoka sare ya bao 1-1 katika mchezo wao uliopita, leo Yanga wana kibarua kingine watakapoikaribisha Toto Africans ya Mwanza kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

 

9 years ago

Mwananchi

Toto wataendelea kuwa watoto wa Yanga au vinginevyo?

Pengine majiji matatu makubwa yanayopendwa na kuheshimika zaidi Tanzania ni Dar es Salaam, Mwanza na Arusha. Ni kama ambavyo Waingereza wanathamini majiji ya London, Manchester na Birmingham. Katika soka, majiji hayo yote yana timu za Ligi Kuu na zimekuwa sehemu ya alama ya majiji hayo.

 

11 years ago

Mwananchi

Manji avunja Kamati ya Uchaguzi ya Yanga

Uongozi wa Yanga umevunja kamati ya uchaguzi na kutangaza kamati mpya, ikiwa ni maandalizi ya uchaguzi mkuu wa klabu hiyo utakaofanyika baadaye mwaka huu.

 

11 years ago

GPL

Beki avunja mkataba, atua Yanga

Na Martha Mboma
BEKI wa Coastal Union, Abdi Banda, amefunguka  na kusema yupo katika hatua nzuri ya kuweza kumalizana na Yanga, huku akiwa anavunja mkataba wake. Beki wa Coastal Union, Abdi Banda. Kabla ya msimu uliopita Yanga ilikuwa ikimhitaji beki huyo ambaye alipandishwa kutoka timu ya vijana ya Coastal…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani