Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Toto African yamsaka kocha Mjerumani

KLABU ya Toto African ya   Mwanza inatarajia  kumpata kocha mpya  kutoka Ujerumani  Agosti 2, mwaka huu ambae atakinoa kikosi hicho kwa ajili ya ligi kuu msimu  ujao.

Timu ya Toto African iliyopata daraja   msimu  uliopita kwa sasa inaendelea na mazoezi ikiwa chini ya kocha John Tegete aliyekipandisha kikosi hicho.

Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa klabu hiyo Ahmed Waziri Gau alisema  kocha huyo atakapowasili mara moja ataanza  kuiandaa timu yao.

Gau alisema...

Raia Tanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Mjerumani avunja udugu Toto, Yanga

Licha ya kuisifu Yanga kama moja ya timu kubwa na bora nchini, kocha mkuu wa Toto Africans ya Mwanza, Martin Glerics amesema hatambui kama kuna undugu kati ya timu hizo na atahakikisha anaifunga kila atakapokutana nayo.

 

9 years ago

Habarileo

Kocha Toto Africans amwaga visingizio

KOCHA Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics, amesema malengo ya klabu yake si kuzifunga Simba, Yanga wala Azam badala yake ni kuhakikisha inaendelea kubaki kwenye ligi ili apate muda wa kukiboresha kikosi hicho.

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Toto atangaza kubwaga manyanga

Kocha Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics amepanga kuachia ngazi kutokana na kuchoshwa na hali ya mambo inavyoenda ndani ya klabu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Kocha mpya Toto Africans aanza kazi kwa mikwara

Kocha mkuu wa Toto Africans, Martin Glerics amewaambia maneno machache mashabiki wa timu hiyo kuwa amekuja nchini kufanya kazi na anataka kuing’arisha klabu hiyo.

 

9 years ago

Mwananchi

Ivo aibukia Toto African

Aliyekuwa kipa wa Simba SC, Ivo Mapunda ameibukia kwenye mazoezi ya timu ya Toto Africans huku akibainisha kuwa lolote linawezekana kwani kazi yake ni mpira na siyo kingine.

 

9 years ago

Michuzi

AZAM FC YAIFUNGA TOTO AFRICAN 5-0

 Mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu akitafuta mbinu za kumtoka veki wa Toto African,  Hamis Seleman katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam leo. (Picha na Francis Dande)
Beki wa Toto African, Salum Chuku (katikati) akichuana na mshambuliaji wa Azam FC, Didier Kavumbagu (wa pili kushoto) wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Chamazi jijini Dar es Salaam jana. Azam ilishinda 5-0. 

 

10 years ago

Mwananchi

Migogoro yafukuta Toto African

Wanachama wa Klabu ya Toto Africans wamemtaka Makamu Mwenyekiti na Kamati ya Utendaji kujiuzulu kutokana na utendaji wao kuwa butu na kusababisha kushuka kwa maendeleo ya timu.

 

11 years ago

Mwananchi

Stand United yanyofoa nyota wa Toto African

Stand United, ambayo imepanda Ligi Kuu msimu ujao imekivunja kikosi cha Toto Afrika baada ya kuwasajili wachezaji wawili wa timu hiyo, Kheri Mohamedi na beki kisiki John Bosco, huku wengine wengi wakiwa njiani kuelekea katika timu hiyo.

 

10 years ago

Mwananchi

Majimaji, Toto African kwa malengo tofauti

>Baada ya kufanikiwa kupanda  daraja na kucheza Ligi Kuu Bara, Majimaji ya Songea na Toto African ya Mwanza zimejiwekea malengo tofauti.

 

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani