Kocha Toto atangaza kubwaga manyanga
Kocha Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics amepanga kuachia ngazi kutokana na kuchoshwa na hali ya mambo inavyoenda ndani ya klabu hiyo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili15 Apr
Kocha wa Dortmund kubwaga manyanga.
10 years ago
BBCSwahili28 May
Advocaat kubwaga manyanga,Sunderland
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-LFlMpSmOZew/VFiv_vt5V-I/AAAAAAACuVo/h6NbULc5Ekc/s72-c/IMG_4530.jpg)
MAKATIBU WA CCM VUNJO WATAKA KUBWAGA MANYANGA.
![](http://3.bp.blogspot.com/-LFlMpSmOZew/VFiv_vt5V-I/AAAAAAACuVo/h6NbULc5Ekc/s1600/IMG_4530.jpg)
Wakizungumza kwa nyakati tofauti, viongozi hao ngazi ya kata katika wilaya ya Moshi vijijini, walisema migogoro na malumbano ndani ya CCM imekuwa chanzo cha wapinzani kushinda kiurahisi katika Jimbo la Vunjo. Mmoja wa viongozi wa...
9 years ago
Habarileo24 Oct
Kocha Toto Africans amwaga visingizio
KOCHA Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics, amesema malengo ya klabu yake si kuzifunga Simba, Yanga wala Azam badala yake ni kuhakikisha inaendelea kubaki kwenye ligi ili apate muda wa kukiboresha kikosi hicho.
10 years ago
Raia Tanzania31 Jul
Toto African yamsaka kocha Mjerumani
KLABU ya Toto African ya Mwanza inatarajia kumpata kocha mpya kutoka Ujerumani Agosti 2, mwaka huu ambae atakinoa kikosi hicho kwa ajili ya ligi kuu msimu ujao.
Timu ya Toto African iliyopata daraja msimu uliopita kwa sasa inaendelea na mazoezi ikiwa chini ya kocha John Tegete aliyekipandisha kikosi hicho.
Akizungumza na gazeti hili jana, Mwenyekiti wa klabu hiyo Ahmed Waziri Gau alisema kocha huyo atakapowasili mara moja ataanza kuiandaa timu yao.
Gau alisema...
10 years ago
Mwananchi06 Aug
Kocha mpya Toto Africans aanza kazi kwa mikwara
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ZymY4ttHMzXTWOGhxIggQFFui9LU78JI1pzsCKSyaELqI-ECLmSDg1QqVgSeKsnG7N8zJlUeFN3YGv6jgWmH-vp1fB7eXT9B/yanga22.jpg?width=650)
Kocha Yanga atangaza anaowatema
10 years ago
GPLKOCHA TAIFA STARS ATANGAZA WATAKAOENDA BURUNDI
9 years ago
StarTV17 Nov
 Kombe La Challenge Kocha Kibaden atangaza kikosi cha wachezaji 21.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.
Kibadeni anayesaidiwa na kocha Juma Mgunda, amesema wachezaji aliowaita wapo katika hali nzuri na wamekua wakifanya mazoezi na kikosi cha Taifa Stars ambao kama benchi la ufundi wamepata nafasi ya kuwa nao kwa muda mrefu na kutambua maendeleo yao.
Muda wa kutengana...