Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kocha Yanga atangaza anaowatema

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. SIKU chache baada ya kumalizika kwa msimu wa 2013/2014, hatimaye Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm amekamilisha ripoti yake na kuiwasilisha kwa uongozi wa timu hiyo. Haruna Niyonzima. Pluijm ambaye…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

KOCHA WA YANGA AGOMA KUMPA MKONO KOCHA MWENZIE

Kocha simba akimpa mkono kocha wa YangaHans ameshindwa kupeana mkono wa pongezi na kocha mwenzake kutokana na kikosi chake kukubali kupokea kichapo kutoka kwa wekundu wa msimbazi lakini katika hali ya kawaida mchezo ukimalizika makocha upeana mkono kama ishara ya kukubali matokeo (fair play) na kocha msaidizi wa yanga Boniface Mkwasa ametoa mkono huku akiwa ameangalia pembeni.Goran akimwambia basi samahani kwa kukufunga wewe nipe mkono tuBaada ya mchezo kocha aliwashukuru wachezaji wake kwa...

 

9 years ago

Mwananchi

Kocha Toto atangaza kubwaga manyanga

Kocha Mkuu wa Toto Africans, Martin Grelics amepanga kuachia ngazi kutokana na kuchoshwa na hali ya mambo inavyoenda ndani ya klabu hiyo.

 

10 years ago

GPL

KOCHA TAIFA STARS ATANGAZA WATAKAOENDA BURUNDI

Kocha wa timu ya Taifa Stars, Mart Nooij akitangaza majina ya wachezaji mbele ya wanahabari (hawapo pichani). Kushoto ni kocha Mrt Nooij, Meneja wa timu Boniphace Clement pamoja na Dk Emile Richard wakiwa kwenye mkutano na wanahabari.…

 

9 years ago

StarTV

  Kombe La Challenge Kocha Kibaden atangaza kikosi cha wachezaji 21.

 

Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya Tanzania Bara,  ‘Kilimanjaro Stars’,  Abdallah Kibadeni ametangaza kikosi cha wachezaji 21 kujiandaa na michuano ya Kombe la Chalenji itakayoanza kutimua vumbi Jumamosi Novemba 21, nchini Ethiopia.

Kibadeni anayesaidiwa na kocha Juma Mgunda, amesema wachezaji aliowaita wapo katika hali nzuri na wamekua wakifanya mazoezi na kikosi cha Taifa Stars ambao kama benchi la ufundi wamepata nafasi ya kuwa nao kwa muda mrefu na kutambua maendeleo yao.

Muda wa kutengana...

 

11 years ago

GPL

Maximo atangaza vikosi 2 Yanga

Na Mwandishi Wetu
KOCHA Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, anaendelea kuiandaa timu yake kwa ajili ya msimu mpya, lakini ameamua kutengeneza vikosi viwili. Kocha Mkuu wa Yanga, Marcio Maximo, Ingawa amekuwa akifanya siri, katika mazoezi ya Yanga, Maximo ameamua kutengeneza vikosi viwili ambavyo vitaifanya Yanga kuwa na uhakika kwa msimu mzima. “Kocha amefanya uchunguzi wa kila kitu ikiwa ni pamoja na kuangalia wachezaji wa...

 

10 years ago

GPL

Straika Yanga atangaza kwenda Stand

Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi. Martha Mboma na Saphyna Mlawa
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Said Bahanuzi, amefunguka kuwa, yupo tayari kwenda kuitumikia Stand United.
Mshambuliaji huyo amesema yeye hana kikwazo endapo tu timu hizo mbili zitakubaliana. Straika huyo kwa sasa hana nafasi katika kikosi cha Yanga ambayo alijiunga nayo akitokea Mtibwa Sugar.
Akizungumza na Championi Jumatano, Bahanuzi alisema yupo tayari kwenda...

 

10 years ago

Habarileo

Kocha: Yanga haijaiva

KOCHA Mkuu wa Yanga Hans van der Pluijm amesema timu yake bado haijaiva kiasi cha kuridhika kutetea taji lake la Ligi Kuu hivyo inahitajika marekebisho kidogo.

 

11 years ago

GPL

KOCHA HANS AAGA YANGA

Kocha Mkuu wa Yanga, Hans van Der Pluijm. Hans Van Der Pluijm kocha mkuu wa timu ya Young Africans leo amewaaga rasmi wachezaji wake, viongozi, wapenzi  na wanachama baada ya kumalizaa wake wa miezi sita na sasa anakwenda kujiunga na timu Al Shoalah FC iliyopo Ligi Kuu nchini Saudi Arabia. Kocha huyo mdachi ambaye ameiongoza Young Africans kwa kipindi cha miezi mitano amesema anashukuru kwa sapoti aliyokua akiipata kutoka...

 

9 years ago

Habarileo

Yanga yampa raha kocha

KOCHA Mkuu wa Yanga, Hans Pluijm amekisifu kikosi chake kwa kucheza vizuri na kupata ushindi wa nguvu wa mabao 3-0 katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani