Straika Yanga atangaza kwenda Stand
![](http://api.ning.com:80/files/rkFK1BYzsGgVDzquRN-7HTTFe*mge0OQiUBejbdc4z1TZdp4m3ETacO*wdrZ1Ohg76MC7-Hg3HrAJYFYSWLMhv-8*BMM0NbI/straika.jpg)
Mshambuliaji wa Yanga, Said Bahanuzi. Martha Mboma na Saphyna Mlawa MSHAMBULIAJI wa Yanga, Said Bahanuzi, amefunguka kuwa, yupo tayari kwenda kuitumikia Stand United. Mshambuliaji huyo amesema yeye hana kikwazo endapo tu timu hizo mbili zitakubaliana. Straika huyo kwa sasa hana nafasi katika kikosi cha Yanga ambayo alijiunga nayo akitokea Mtibwa Sugar. Akizungumza na Championi Jumatano, Bahanuzi alisema yupo tayari kwenda...
GPL